Ulichikisema ni kweli, mahakama ya Kadhi hasa ni kwa Waislamu na wala si kwa watu wa dini nyingine. Ila kusema kwanini serikali iingie ghalama kushughulikia baadhi ya kundi fulani katika jamii, mi hilo siliungi mkono kwa kuwa hao waislamu wanaichangia serikali yao katika michango mbalimbali na...
Mi nawashangaa watu wanokupa thanks..wanakupa kwa hoja gani,...? Udini..? au upogo..? kweli siku hizi ustaharabu hamna kabisa...yaani mtu anamtukana mwenzake then kuna watu wanshangilia...kweli dunia imekwisha.
Ila wewe choka mbaya, nafikiri pia umechoka kweli mbaya..kiasi kwamba ukawa na upogo wa kuweza kung'amua mambo kwa jicho la yakini. Kwanini kila mtu ukiwemo wewe..mnamlaumu Tumaini?? kwani kosa lake ni nini?? ni kule kuonesha tofauti na mtazamo wako na wenzako?? hapo iutakuwa unaitumia akili...
Hapana Kalunguyeye....huop sio udini...ni mtazamo tu wake Hata wewe unaweza kuwa namtazamo tifauti na huo..., au unataka kila jambo linalotolewa na kanisa basi watu waunge mkono tu...hata kama linaonekana ni la hatari..
Tatizo lenu nyie mnaojiita watumishi wa Mungu mnang'ang'ani uzazi wa mpango kwa kuwa wengi wenu mnaongoza kuwa na vimada nje ya ndoa zenu, sasa manona kama msiposapoti uzazi wa mpango utatumia kigezo gani kumshawishi kimada wako ili asikuletee mtoto na mkeo wa ndoa nyumbani akaja juu? Au...
Mi ninachoshangaa ni mambo mawili, kwanza kwa hawa ndugu zetu wanajiita wkristo kutoonesha kuhisi uchungu wa ndugu zao Waislamu, kwa kuwa dhana ya Waislamu itakuwa kukme hawa wakristo sio wema kwao, sa tukifikia hapo... tujue tunaiingiza nchi katika matatizo makubwa, maana watakachoona waislamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.