Search results

  1. mbwana semsimbazi

    Naendeleza Utani..!!

  2. mbwana semsimbazi

    Hao chatu na chui wapo wapi sasa!!

    MKE: Honey naomba unisaidie kitu. MUME: chochote mke wangu nitakufanyia, unajua nakupenda.. MKE: Naomba ukaue Chatu, na kisha chui halafu uniletee ngozi zao. MUME: Hivi wewe unakichaa, ndio mambo gani hayo?? Siwezi bwana omba lingine. MKE: Naomba Simu yako nisome msg za kawaida na WhatsApp...
  3. mbwana semsimbazi

    *Kama Ukushiba Ungesema tu Baba *

    Umeenda kutembea ukweni kwako baada ya chakula chausiku unapewa chumba chakulala inapofika usiku unatakakutoka kwenda kujisaidi kwasababu taa zimezimwa unapamia vyombo vya chakula sebleni kipindi unajalibu kupapasa uviweke sawa mala taa inawashwa na mama mkwe anaona umeshika vyombo anakwambia...
  4. mbwana semsimbazi

    Usicheze na Bibi

    tulikua kwenye gari kibao ad wengne mlangon likasmimama kituo kimoja kulikua kuna bibi anataka kupanda Konda- bibi twende sit kibao ata utalala Bibi - oooh sawa mjukuu Konda - simama tu apo wanashuka mbele Bibi - akacheka sana tu Konda- mbona unacheka bibi Bibi - mjukuu hawa wote...
  5. mbwana semsimbazi

    Kina dada awaachagi mambo yao

    Kina dada bana hawaachagi mambo yao! Utamsikia anakwambia: "Baby naona aibu kuingia 2017, it's my first time". [emoji85][emoji85][emoji85][emoji23][emoji23][emoji23]
  6. mbwana semsimbazi

    Tufanyeje??

    Jamaa kwa kuchoshwa na tabia ya mkewe iliyobadilika ghafla akaamua kumpleka kwa Padre ili amuelezee nini tatizo mambo yakawa hivi: Padre: Mumeo analalamika umebadilika sana siku hizi nini tatizo? Mke: Baba Padre tatizo ni hali ngumu ya maisha.. sio mimi Padre:Fafanua..! Mke:Unakuta asubuhi...
  7. mbwana semsimbazi

    Kama ni wewe ungefanya nini!!??

    House girl alitandika kitanda cha bosi wake Kama Sehemu ya jukumu lake la kila siku. alipomaliza akakitazama sana kile kitanda cha bosi wake akasema naweza kufa bure bila ya kulalia kitanda kama hiki akasema ngoja nijaribu kulala lau kidogo, akavua nguo zote akaziweka chini akabaki na gagulo tu...
  8. mbwana semsimbazi

    Kwenu nyie wadada*

    *We Mdada unaeringa na iyo FIGURE (shape) yako...umesaau kuwa MATHEMATICS ilikua na Figure kibao ila shuleni bado Tuliikimbia?*[emoji276][emoji276][emoji276]
  9. mbwana semsimbazi

    HATARI SANA*

    Pale unapomlipia mwanao karo ya shule ya mwaka kwa M-PESA ya Tsh 15,000,000 na kuletewa majibu haya Ahsante kwa kujiunga na kifurushi cha voda-voda umepata dakika 350,000 /sms 750,000 na GB 400,000 TUMIA NDANI YA MASAA 24 TU kwa OFA zaidi endelea kutumia voda - VODACOM KAZI NI KWAKO...
  10. mbwana semsimbazi

    *Kwa wanawake wote*

    *Msichana unamtembelea Mwanaume wako na Mkoba mkubwa umejaa vitu mbali mbali isipokuwa nauli. Kwann lakini??.........[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumechoka*
  11. mbwana semsimbazi

    WALEVI NA KIOO

    Walevi wawili waliokota kioo, mlevi wa 1 akakiangalia kwa muda mrefu kisha akasema "hii sura sio ngeni machoni mwangu sema jina tu silikumbuki..! Mlevi wa pili akamnyang'anya kisha nae akaangalia kioo akasema "wee kweli huna akili si mimi huyu? halafu unajidai hunikumbuki...
  12. mbwana semsimbazi

    HII KALI!!

    *HII KALI [emoji23]* *Mgojwa: daktari Nina tatizo la kusahausahau kila dakika.* *Daktari: hilo tatizo lilianza lini?* *Mngojwa:tatizo lipi?* *[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]* *[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
  13. mbwana semsimbazi

    Kama ni wewe utafanya nini!!?

    *KAMA NI WEWE UTAFANYA NINI?* Mke alimuaga mume wake anaenda kumsalimia mam yake mgonjwa kijijini, akaondoka ijumaa na kurudi jumatatu huku akiwa na matunda kibao pamoja na vyakula vingine toka huko kijijini akisema ni mama amenipa kwa ajili yako mume wangu na watoto. Mume akamuuliza kwa...
  14. mbwana semsimbazi

    JIRANI YANGU MLEVI*

    Kuna jirani yangu amerudi amelewa sasa nachungulia naona anagonga mlango wake karibu masaa mawili hivi wakati mlango anaogonga anaishi peke yake, kwa kuwa sipendagi ujinga nimetoka na kumwambia mwenyewe hayupo kasafiri ,kisha akajiondokea zake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  15. mbwana semsimbazi

    Nahama sayari

    ukienda usa unakutana na Trump, ukienda Russia unakutana na mnyama puttin, Korea unakutana na KIM..[emoji119] ukirudi home unakutana na JPM [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nahama sayari
  16. mbwana semsimbazi

    TRAFIK MLEVI

    Trafik mlevi alisimamisha gari Mama akapaki pembeni akaona trafik anakuja akiwa anayumba! Alipofika akasema, "naomba leseni yako." Mama akasachi mkoba Wake akatoa kioo kidogo cha kujtazama akampatia! Trafik akakiangalia kwa dakika 2 Akasema sasa si ungesema kama wewe ni trafik mwenzangu! Haya...
  17. mbwana semsimbazi

    MTU PEKEE AMBAYE MWANAMKE ANAWEZA KUMSIKILIZA KWA MAKINI NA AKAMUELEWA

    MTU PEKEE AMBAYE MWANAMKE ANAWEZA KUMSIKILIZA KWA MAKINI NA AKAMUELEWA AKAFANYA VILE HASWA INAVYOTAKIWA NI MPIGA PICHA TU VINGINEVYO KUWA MPOLE TU NDUGU YANGU[emoji28][emoji28][emoji3][emoji3][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
  18. mbwana semsimbazi

    Tunaelekea kwenye party

  19. mbwana semsimbazi

    Dawa ya kiburi jeuri..

Back
Top Bottom