Search results

  1. J

    Julius Mtatiro: Ndugu zangu watanzania, hakuna aliye salama

    UJUMBE WANGU WA LEO KWENU. Ndugu zangu watanzania hakuna aliye salama, hayupo! Si mwanasiasa wa upinzani, si mfanyakazi, si mkulima, si bodaboda, si tajiri wala masikini, siyo kiongozi wa dini au wa kijamii, si aliyeko mjini au kijijini. Pona pona yetu ya peke yake ni kutumia haki zetu za...
  2. J

    Julius Mtatiro: Profesa Kitila ni msaliti?

    PROFESA KITILA NI MSALITI? Na. Mtatiro J Kaka yangu na Mwalimu wangu Profesa Kitila Mkumbo amefanya uamuzi mkubwa sana katika maisha yake, lakini huo siyo uamuzi wa mwisho kwa maisha ya duniani. ... Kama Mungu atamjalia umri mrefu bado anayo nafasi ya kufanya maamuzi makubwa zaidi, na si...
  3. J

    Elections 2015 Siku tano za kampeni: Chokochoko za CCM, serikali yake na vyombo vya ulinzi

    SIKU TANO ZA KAMPENI: YAFUATAYO YANAONESHA DHAHIRI KUWA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZINASHIRIKIANA NA CCM KUJARIBU KUHARIBU UCHAGUZI HUU; Na. Julius Mtatiro. 1. Kumzuia mgombea urais wa CHADEMA/UKAWA kuhudhuria msibani eti kwa sababu amesindikizwa na watu, kana...
  4. J

    Elections 2015 Humphrey Polepole: CCM ilifanya maamuzi ya kiume, Majizi na hasa kubwa lao yakakatwa...

    KWAKO NDUGU Humphrey Polepole, ENDELEA KUTUMIKIA MAJIZI MILIONI MOJA HUKO ULIKO! Mimi napenda mijadala kama wewe na sina shaka katika hilo, tuendelee kujadiliana. Kuna watu unawaita majizi na wezi, kwamba mkubwa wao amekatwa na akaelekea kwa UKAWA-FEKI hii ya sasa na si ile ya BMK. Well...
  5. J

    Elections 2015 Hongereni tena Segerea: Nina furaha tele na sijatetereka

    HONGERENI TENA SEGEREA: NINA FURAHA TELE NA SIJATETEREKA! Na. Julius Mtatiro, Ndugu zangu, nimejulishwa na mtu muhimu sana kwamba jimbo la Segerea limeachwa chini ya CHADEMA lakini ndani ya UKAWA, nimeshazithibitisha taarifa hizi kwa viongozi wangu. Kwanza niwapongeze viongozi wote wa...
  6. J

    Dr. Asha Rose Migiro: Nani ni nani Urais CCM?

    Dr. Asha Rose Migiro: Nani ni nani Urais CCM?
  7. J

    Nitagombea ubunge Jimbo la Segerea – Dar es Salaam

    Ndugu yangu JAKACKSERU, Hata hiyo UKONGA ina wagombea wazuri tu wa CHADEMA akiwemo Kamanda Mwita Waitara, ngoja tusubiri kujua UKAWA inagawanaje majimbo ndipo tutahitimisha masuala haya. Lakini kwa namna nilivyojipanga sitakuwa na kinyongo kumuunga mkono mgombea yeyote wa UKAWA ikiwa...
  8. J

    Nitagombea ubunge Jimbo la Segerea – Dar es Salaam

    CUF ina mitaa mingi kuliko CHADEMA. CUF haikuwa na mgombea mzuri hata kidogo 2010 lakini bado alipigiwa kura 19,000. Jimbo hili vyama hivi viwili ni imara sana.
  9. J

    Nitagombea ubunge Jimbo la Segerea – Dar es Salaam

    NITAGOMBEA UBUNGE JIMBO LA SEGEREA – DAR ES SALAAM. Ndugu zangu, kesho Jumatatu 09 Machi 2015 saa 4.00 asubuhi, nitachukua fomu ya kuwania ubunge katika jimbo la Segerea kama ambavyo taratibu za ndani ya chama changu zinaruhusu. Hakutakuwa na mbwembwe vifijo wala nderemo kwa sababu...
  10. J

    Akaunti zangu zimevamiwa

    Jamani, mtu yeyote asichangie wala kupokea maombi ya pesa anayotumiwa kwa njia za ujumbe wa simu kutoka akaunti yangu ya FACEBOOK (Julius S. Mtatiro) au ya GMAIL (juliusmtatiro@gmail.com). Akaunti ya GMAIL ilivamiwa tangu jana mchana na kabla sijai-recover ikawa imetumika kulog- in kwenye...
  11. J

    Uongo mwingine wa lukuvi huu hapa.

    Wakuu kama pia nasema uongo hapamnihukumu, lakini nina uhuru wa kueleza ukweli ninaoujua katika kila jambo, na siwezi kupangiwa nini cha kusema.
  12. J

    Uongo mwingine wa lukuvi huu hapa.

    Wakuu, Nimejulishwa pia kwamba waziri Lukuvi alisema uongo mwingine mkubwa, jana tarehe 08 Nov 2013 bungeni, kwamba "kwenye mazungumzo ya vyama na serikali ati kuna wakati wajumbe wa vyama(TCD) walishindwa kuelewana na wakaomba faragha na ati wakapewa chumba maalum katika ofisi ya Waziri Mkuu na...
  13. J

    Mtatiro: Shutuma za Waziri Lukuvi kwa CUF ni za kipuuzi na hazina mashiko

    Ndiyo, nimetoa mfano wa CHADEMA na mapendekezo ya SIMPLE MAJORITY, haina tofauti na hoja hii ya tume ya katiba. Kama serikali pia ilitoa ushahidi kuwa HALIMA MDEE ndiye alipendekeza hoja hiyo, ndiyo mnataka ahukumiwe? Jambo muhimu ni kuwa Halima Mdee bado anaamini katika imple majority? Jibu ni...
  14. J

    Julius Mtatiro, ni ya kweli haya?

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI; 09 Novemba 2013. SHUTUMA ZA LUKUVI KWA CUF NI ZA KIPUUZI NA HAZINA MSHIKO; Nikiwa hapa Johannesburg nikihudhuria mafunzo maalum ya usimamizi wa uchaguzi, nimejulishwa kwamba huko nyumbani Tanzania(bungeni), waziri wa sera, bunge na uratibu mhe. Lukuvi...
  15. J

    CUF Kwa sasa Mchana CHADEMA usiku CCM and Vise versa

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI; 09 Novemba 2013. SHUTUMA ZA LUKUVI KWA CUF NI ZA KIPUUZI NA HAZINA MSHIKO; Nikiwa hapa Johannesburg nikihudhuria mafunzo maalum ya usimamizi wa uchaguzi, nimejulishwa kwamba huko nyumbani Tanzania(bungeni), waziri wa sera, bunge na uratibu mhe. Lukuvi...
  16. J

    Ccm yafanikiwa kumng'oa jaji warioba na tume yake, cuf yatajwa kuihujumu tume hiyo

    AARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI; 09 Novemba 2013. SHUTUMA ZA LUKUVI KWA CUF NI ZA KIPUUZI NA HAZINA MSHIKO; Nikiwa hapa Johannesburg nikihudhuria mafunzo maalum ya usimamizi wa uchaguzi, nimejulishwa kwamba huko nyumbani Tanzania(bungeni), waziri wa sera, bunge na uratibu mhe. Lukuvi ameishutumu...
  17. J

    Siri ya lukuvi: Mtatiro aiumbua cuf bungeni

    AARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI; 09 Novemba 2013. SHUTUMA ZA LUKUVI KWA CUF NI ZA KIPUUZI NA HAZINA MSHIKO; Nikiwa hapa Johannesburg nikihudhuria mafunzo maalum ya usimamizi wa uchaguzi, nimejulishwa kwamba huko nyumbani Tanzania(bungeni), waziri wa sera, bunge na uratibu mhe. Lukuvi ameishutumu...
  18. J

    Hatimaye Hamad Rashid, Shoka Hamis na wenzao wawili wafukuzwa CUF!

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. Baraza kuu la uongozi la taifa la THE CIVIC UNITED FRONT (CUF - CHAMA CHA WANANCHI) linaloendelea na kikao chake cha siku moja katika hoteli ya MAZSONS mjini Zanzibar limepokea tuhuma zinzowakabili viongozi na wanachama 14 wa chama kutoka kamati ya utendaji ya...
  19. J

    Hatimaye Hamad Rashid, Shoka Hamis na wenzao wawili wafukuzwa CUF!

    MAAMUZI YA BARAZA KUU LA UONGOZI LA CUF TAIFA JUU YA HAMAD RASHID NA WENZAKE WATATU. Baraza kuu la uongozi la taifa la THE CIVIC UNITED FRONT (CUF - CHAMA CHA WANANCHI) linaloendelea na kikao chake cha siku moja katika hoteli ya MAZSONS mjini Zanzibar limepokea tuhuma zinzowakabili viongozi...
Back
Top Bottom