Search results

  1. Babu Anganga

    Onyo Kali

  2. Babu Anganga

    Natafuta mchumba!

    Mimi ni kijana wa kiume mkristo mwenye umri wa miaka 30 ni mtumishi wa serikali. Natafuta mchumba atakayekuwa mke mwema kwangu. Awe kabila lolote Tanzania, dini mkristo dhehebu lolote. Umri miaka 25 hadi 40. Nipo tayari kupima afya. Aliye tayari ani pm.
  3. Babu Anganga

    Nisaidieni

    Naomba msaada, nina shida sana ya kusoma ile post ya kwenye jokes/utani inayohusu majina ya watu na sifa za wenye majina hayo ila sikumbuki title yake. msaada tafadhali.
  4. Babu Anganga

    hi there!

    Poleni na majukumu ya everydy, mi nlijiunga last yr but unfortntly nikapata safari ya kwenda somwhr wher there's no communication. So would u p'se Karibu me.
Back
Top Bottom