Search results

  1. B

    Hii ya nbc-bank kufungia account za wateja bila taharifa imekaaje?

    Hawa nbc vp? Vp mbona wanafunga account bila taharifa
  2. B

    nape asema mafisadi wamepewa barua

    hapa na copy kauli ya nape kwenye wall page- face book "WalIodai barua za watuhumiwa wa afisadi zisingetoka...... Aibu kwao sasa.... Ooh hawawezi kutoa....haya sasa" source: Face book (nape - wall page)
  3. B

    Tatizo si Kikwete na uelewa wake bali chuo kikuu alichosoma!

    Ukienda mzumbe na vyuo vingeni labda kasoro SUA, atakuta asimia kubwa wa malecturers wamesoma UD, lakini ukienda UDSM hakuna lecturer aliyesoma/aliyetoka mzumbe, tumain saut etc. WHY?
  4. B

    CHADEMA yakubali yaishe! yamtambua Rais, yampongeza Rais

    akumpongeza kwa kuchaguliwa kuwa rais amempongeza kwa kukubali kubadili katika wakati haikuwa kwenye ilani ya CCM. mtoa taharifa amepotosha uma.
  5. B

    Ephraim kibonde kapotoka katika kunena!!!!!

    crap! Mbona unaongea kama mzaramo. Sawa wewe ulipata div 1 point 7. Tumechoka na kibonde, mliyomwona wa kumzungumzia ni kibonde tu! Mbona mnampa umaharufu usio kuwa wa maana.
  6. B

    Ephraim kibonde kapotoka katika kunena!!!!!

    tumewachoka na habar zenu au mumetumwa nn? Kila saa kibonde, hakuna issue nyingine za kujadili.
  7. B

    Wana cdm, cuf, ccm, nssr,tlp etc, j2 ndio hii

    Nawakumbusha mumkumbuke Mungu, siasa weka pembeni twenden tukasali, tuliombee taifa letu na viongozi wetu, ili wawe na busara na moyo wa huruma kwa watanzania wenzao. Amen
  8. B

    Arsenal kama taifa starz

    Kuna muelekeo kweli wa kuchukua kombe kwa staili hii? From 4-0 tu 4-4 du hii imekaa vp
  9. B

    JK aponda maandamano ya Arusha

    Anasema hakuna ulazima wa kuandamana wakati wanawabunge wa kutosha bungen. Ni kupeleka hoja bungeni na si kuandamana.
  10. B

    Hotuba ya JK wanarudia tbc sasa hiv

    Kwa wale ambao hawakubahatika kuona hotuba ya rais angalia tbc
  11. B

    udsm waandamana

    nasikia kunafujo imetokea huko. wenye habari kamili watujuze
  12. B

    Gazeti la mwana halisi linastahili pongezi!

    mkuu kuna habari gani mkuu, huku mikoani bado halijafika, nitupie headline
  13. B

    Chadema waandaa bajeti kuikabili CCM

    vp kuhusu shibuda, wamemchukulia atua gan? Au issue yake wameipotezea
  14. B

    Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

    inaelekea wewe ndio ulikuwa muongoza kipindi, mi hiyo redio cjawai kuisikia wala watu kuizungumzia. dar es salaam inapatikana katika frequence ipi?
  15. B

    Dr.mwakyembe waanza kuumbuka!

    kweli wewe ni bongo lala. usomeki mkuu
  16. B

    Mgomo wa Wahadhiri na Wanafunzi UDOM 2011

    UDOM, siasa kinaua hicho chuo
  17. B

    Udsm yaporomoka kiwango kutokana na siasa

    jamani mbona ni UDSM tu na SUA vipi kuhusu UDOM, MZUMBE? hat ST. AUGUSTINO-Mwanza. TUMAINI UNIV. hazipo kwenye ranking
  18. B

    Utawala bora uko icu nauombea quick recovery

    ushauri wako umepokelewa
Back
Top Bottom