Search results

  1. F

    Maryrose Kalage ajivua gamba na kuingia ndani ya CHADEMA - Julai 13, 2013

    Angalieni acje kuwa pandikizi. Apewe muda kwanza.
  2. F

    Ni apps gani za android & iphone unazotumia au kujua

    Swahili Bible yaani Biblia ya kiswahili ipo na mm naitumia kila cku na hata kanisani naenda na Galaxy Tab yangu na kutumia soft copy ya Biblia yangu ya kiswahili. Biblia za kiingereza za kumwaga.
  3. F

    BBC: Jumuia ya Afrika Mashariki mashakani, Marais wa Kenya, Uganda na Rwanda waunda umoja wao!

    Ukweli n kwamba kwa sababu yoyote ile itakayokuwa kitendo cha Kikwete kutoshirikishwa ktk kikao hicho sio dalili nzuri ya ushirikiano wa marais wa jumuiya ya Afr.mashariki. Kikwete na Kagame hawako vizuri na Kagame n rafik wa karibu sana wa Museven. Na hawa wawili wamekuwa wakiitumia sana...
  4. F

    Rasimu ya katiba yapingwa vikali ktk vikao vya .......

    Ni aibu ndg zangu Waislamu kung'ang'ania mahakama ya kadhi kuingia kwenye katiba na kutambuliwa na serikali. Kuna wanachokitafuta hawataki kukisema. Sio bure ila Nionalo n aibu.
  5. F

    Serikali tatu ni maoni ya warioba au ya watanganyika?

    Haya night maoni tu na yanaweza kuwa maoni ya mtu yeyote yule including Warioba na members wa tume ya marekebisho ya katiba kwa ujumla kwan nao n watanzania na wanahaki kutoa maoni yao. Nionalo mm n kwamba tujadili hoja bila kijali nani kaitoa. Tunayoikubali tuseme hii sawa tusioikubali tuseme...
  6. F

    Serikali tatu ni maoni ya warioba au ya watanganyika?

    Haya bado night maoni tu na yanaweza kuwa maoni ya tu na
  7. F

    Vurugu kati ya CHADEMA na CUF juu ya USHOGA zasababisha Bunge kuahirishwa

    Mm hapa naona yako matatizo kadhaa ya kimsingi ya uelewa kutoka kwa wasikilizaji wa hotuba ya Wenje. Kimsingi Wenje hajasema kuwa CUF n mashoga na wala hajasema kuwa wanaukubali ushoga. Alichozungumza yeye ni tabia ya mrengo wa Liberal ktk ujumla wake kwamba kati ya tabia na imani za ki-liberal...
  8. F

    Absalom Kibanda (Mwenyekiti wa Jukwa la Waharirii) avamiwa na watu wasiojulikana na kujeruhiwa

    Mungu akujalie upone haraka utueleze kilichotokea Absolom. Haya mambo ya utekwaji na kujeruhiwa yanachefua sana nchini mwetu kwa sasa.
  9. F

    Mwananchi: Anguko Elimu - 60% Wapata sifuri, shule za Serikali Chali

    Shukuru Kawambwa na serikali suala sio kusikitika bali n kuchukua hatua kwa ww Kawambwa kujiuzulu ili wenye uwezo wa kuongoza wizara hiyo washike hatamu.
  10. F

    Kwa matokeo haya ya kidato cha nne Kawambwa anasubiri nini ofisini?

    Mbaya zaidi aliyatangaza mwenyewe haya Matokeo ya form four. Kimsingi alitakiwa amalizie hotuba ya Matokeo na statement ya kujiuzulu ili kuinusuru Elimu ya Tanzania. Ni aibu na ni zaidi ya aibu.
  11. F

    Tujadili elimu ya Mnyika au wanafunzi 240,903 kupata sifuri?

    Na hili ndo tatizo la baadhi ya wanasiasa wanakaa kujadili opponents wao kisiasa badala ya kujadili masuala yanayoliathiri taifa kama mfumo wetu wa elimu na matatizo yake. Mnyika hapo alipo amesha-prove beyond reasonable doubts kwamba ameelimika bila kujali anavyeti vingapi. Matokeo ya form...
Back
Top Bottom