Nimegonga kwenye kiwiko.
Sasa population inahusiana nini na citizen welfare. Nenda Burundi 🇧🇮 na Rwanda 🇷🇼 uone kiwango chao cha maisha licha ya kuwa na population ndogo.
Yaani kama bench mark yako ya maendeleo ni Kenya, basi umefeli. Pale hatuna cha kujifunza. Ungesema Namibia 🇳🇦, Botswana 🇧🇼, Gabon 🇬🇦 ningekuelewa. Lkn machakos kule ni shiida.
Kama ulivyokaa kimya wakati wa kuteuliwa, vivyo hivyo kaa kimya wakati kutenguliwa.
Hiyo inaitwa hekima. Kujua wakati gani wa kunyamaza na wa kuongea. Kujua wakati gani wa kuupa muda nafasi mpaka pale hali zitakapokuwa sawa, hasa hali yetu ya kiakili.
Kwenye Behavioural studies tunaambiwa kuwa...
Bro uko dunia ipi?
Hivi hujui kuwa Trump tayari ndiyo rais wa Marekani. Kama unabisha nioneshe rais ajaye mwenye nguvu kama Trump. Ikizingatiwa tuna miezi michache tu kabla ya uchaguzi.
Western World wamepatwa na mshituko baada ya kuona dunia inapiga hatua kwa kasi ambayo hawakuitegemea. Mbaya zaidi maendeleo haya hayana mkono wao. Wanaona maendeleo ya kiuchumi, kijamii na kitekinolojia yanaendelea kote kote duniani pasipo wao kuhusika. Hivyo wanaanza kuona umuhimu wao unaanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.