Search results

  1. T

    Picha: Mkutano wa CCM Arusha ni Aibu kubwa!

    Jioneeni wenyewe kwa picha! Chama Mfu kinachoondoka Madarakani kina sifa hizi za Kukataliwa na Wananchi.
  2. T

    Uhasibu Arusha Wachagua Mabadiliko, CCM wamwaga mahela waambulia Patupu!

    Uchaguzi wa Serikali ya wanafunzi wa Unasibu Arusha umemalizika huku Wagombea Wanaosimamia Sera na Misimamo ya MABADILIKO wamewagaragaza vibaya wagombea wanaowakilisha na kusimamia sera za CCM kwenye uchaguzi wa serikali ya wanafunzi Chuo cha Uhasibu Arusha. Wagombea walioungwa mkono na CCM...
  3. T

    Habari Kutoka Ndani ya TRA: Madudu ya Mashine za TRA haya Hapa!

    Wadau wa JF na Watanzania wenzangu, Uchunguzi wangu binafsi kwa kutumia sources za ndani na nje ya TRA nimegundua madudu yafuatayo kuhusu mchakato na usambazwaji wa Mashine hizi Kama ifuatavyo: 1. TRA Ilitangaza tender na wazabuni walikuwa wanalambwa rushwa si chini ya Dolla/USD 100,000, hii...
  4. T

    Nimesikitishwa wakati ITV wanamuaga Dr. Mvungi TBC1 wanaonesha Tamthilia ya Kichina!

    TBC1 kama TV ya Taifa ilipaswa kuonesha tukio la kuuaga Mwili wa Mzalendo Dr. Mvungu lakini badala yake walikuwa wanaonesha tamthilia ya kichina muda huo huo! Hii tafsiri yake kuwa wao hawajaguswa na tukio hili?
  5. T

    MWIGULU NCHEMBA: Siyo Wabunge wote wa CCM ni Mbumbumbu...

    Juzi ulichangia mjadala wa Sheria ya Magazeti kwa majivuno na majigambo, huku ukikejeli hoja ya Upinzani iliyotolewa na Tundu Lisu, na michango ya wabunge wengine waliotaka kifungu hicho cha Muswada kuondolewa, huku ukisema wanakipiga kifungu hicho si wazalendo na pasport zao zichunguzwe! Leo...
  6. T

    Hodi hapa home of great thinkers-Nimekuja kuongeza nguvu ya kusaka mabadiliko!

    Nikaribisheni wanajamvi, mimi ni mgeni nimekuja kwa lengo la kuongeza nguvu katika kusaka mabadiliko ya kweli kwenye Taifa letu.
Back
Top Bottom