Picha: Mkutano wa CCM Arusha ni Aibu kubwa!

The Quest

JF-Expert Member
Aug 10, 2013
275
0
Jioneeni wenyewe kwa picha! Chama Mfu kinachoondoka Madarakani kina sifa hizi za Kukataliwa na Wananchi.

 

Attachments

 • 20131220_154112.jpg
  File size
  1.7 MB
  Views
  2,050
 • 20131220_154115.jpg
  File size
  137.4 KB
  Views
  6,345
Dec 14, 2013
78
0
Nilisha wapa ushauri ccm jana kuwa maloli ya kubeba watu toka sehemu zote za kaskazini haya kama kawaida yenu mulipuuzia ushauri wangu aibu hyo kaeni nazo
 

The Quest

JF-Expert Member
Aug 10, 2013
275
0
Pamoja na kupiga picha kwa mbali na nikiwa kwenye gari kwa kuhofia magreen gaurd ni dhahiri Arusha tumefanikiwa kuia CCM kabisa!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom