Search results

  1. Martine Waziri

    SUMSUNG GRAND PRIME PLUS INAUZWA TSH.200,000 MWANZA.

    Mbona hujaweka Mawasiliano?
  2. Martine Waziri

    Minara ya simu inamilikiwa na nani?

    Kampuni ya NOKIA ndiyo wamiliki wa hiyo Minara.
  3. Martine Waziri

    Zifahamu secret code za sumsung galaxy J(1ace,2,5,7)

    Mkuu mimi nina Galaxy A5. Mwanzo wakati nawasha ilikuwa inachora kile kialama cha Sumsung cha mduara. Nikaja kurestore kile kialama hakiji tena zaidi inaandika tu Sumsung Android. Niingize code gani irudi ile alama?
  4. Martine Waziri

    Mfahamu mkuu wa mkoa wa Mtwara

    Sioni anachokifanya maana ameshindwa kubuni mbinu mbadala ya kusimamia elimu Mkoani Mtwara. Ni mpiga dili kama wapiga dili wengine hususani kwenye zao la Korosho. Huwa anashirikiana na yule Mbunge mustaafu. Ana Saloon yake pale Bima ndipo mipango ya dili hupangiwa.
  5. Martine Waziri

    Nanunua madini (precious stones) kwa bei rafiki na malipo ni taslimu

    Habari mkuu. Unayo madini? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Martine Waziri

    Wapi nitauza madini ya vito aina ya Acquamarine?

    Habari za leo. Umesema unayo madini yapo kiasi gani mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Martine Waziri

    Pikipiki aina ya Boxer, for only 1million.

    Umeshapata pikipiki mimi ninayo naiuza. Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
  8. Martine Waziri

    Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na mama yake wahamia CHADEMA kutoka CCM

    Yupo live instagram. Kama unamfollow Millard Ayo au Wema mwenyewe utasikia anachokiongea.
  9. Martine Waziri

    Usikurupuke bila kuwa na uhakika

    Tatizo letu vijana tuliowengi huwa tunaweka vyeti vyetu nyumbani na kutembea na maamuzi ya watu wengine vichwani mwetu.Hoja za Francis zina mashiko sana kwa anayeifahamu vizuri CHADEMA. Ila kwa mtu ambaye ameifahamia CHADEMA mwaka 2014 kwenye mkutano mkuu wa Chama pale Mlimani City,ni ngumu kujua.
  10. Martine Waziri

    Mabasi ya UDA yakamatwa, Ridhiwani Kikwete ahusishwa

    Asante sana Quinine kwa kuliona hilo.
  11. Martine Waziri

    Kada wa CCM atuhumiwa kumshambulia kada wa CHADEMA Kilimanjaro

    Jifunze kukomaa kisiasa na siyo siasa za maji taka. Bado hatutakaa kimya kwa watu wanaoharibu image ya chama. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  12. Martine Waziri

    Kada wa CCM atuhumiwa kumshambulia kada wa CHADEMA Kilimanjaro

    Acha kuchafua chama kwa mambo ya kimbea jikite kwenye sera. Kwa hili hatuungi mkono. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  13. Martine Waziri

    Kada wa CCM atuhumiwa kumshambulia kada wa CHADEMA Kilimanjaro

    Hili siyo jamvi la wambea zungumzeni mambo yenye weledi na ambayo yenye kutujenga ila siyo ushabiki wa kijinga ambao hauna maana.
  14. Martine Waziri

    Kada wa CCM atuhumiwa kumshambulia kada wa CHADEMA Kilimanjaro

    Nina uhakika mleta uzi hajitambui ila ni mropokaji ambaye ameweka akili yake mfukoni na kuamua kukichafua Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kuwa kimetoka ktk kuzungumza sera za maendeleo na kuanza Siasa za maji taka kama mleta uzi alivyoripoti.Lakini sina uhakika kama anajua kuwa hapa wapo watu...
  15. Martine Waziri

    GX 110 Toyota Mark ii

    Namba yako ya simu. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  16. Martine Waziri

    Mgombea mwenza wa Lowassa anaweza kuwa nani?

    Mgombea mwenza atakuwa Aman Abeid Karume. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  17. Martine Waziri

    Mwigulu Nchemba achomoza urais 2015

    Hana sifa. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  18. Martine Waziri

    Uchaguzi BAVICHA: Kwanini namuunga mkono Daniel Naftal?

    Danny hana sifa ni mtandao ule wa kusafirisha videmu kwenda nje pasipo manufaa ya BAVICHA. Danny hatakiwi hata kidogo.........labda tuangalie watu wengine. Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Back
Top Bottom