Search results

  1. N

    Tatizo la mwanamke kukosa hormon

    dah!!!sasa hilo ni gazeti au barua????????hiyo lugha tu hatuielewi wakati tunasubiri mtupe maujuzi yenu tufanyee nyege ziongezeke?
  2. N

    Mwanamke wa makelele mi sioi

    wanaume makosea wakati mnaanza mahusiano mnatakiwa muangalie kwanza hata ukimuuliza swali analijibu vipi?hapo ndo utajua huyo mwanamke ni vuvuzela ama siyo
  3. N

    Bangi iliyofunikwa bendera ya CCM yakamatwa

    yeyote anaweza kupitia jina la chama akasingizia kwamba ni CCM au CHadema wakati siyo keli. Lazima tuwe makini.
  4. N

    Fununu: Lema kuirithi mikoba ya Mbowe!

    chama kinao watu wengi makini si Lema peke yake
  5. N

    Onyo Picha zinatisha: Mateso anayopata mtoto baada ya kulipukiwa bomu Soweto

    jamani kama ndo mambo yamekuwa hivyo kwa tanzania?mbona mabomu na tindikali kila mahali?poleni sana wahanga
  6. N

    Chemsha Bongo!

    hahhahahahahahahhahha dah nimefurahi sana
  7. N

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    mawazo yanasababisha mtu apate presha
  8. N

    hapa ndo utaamini wachagga ni Kabila bora hapa TZ

    dar safi sana kweli moshi hakuna hayo,na uchafu hakuna,mikoa mingine watu wanakojolea nguzo za umeme mchana kweupeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Back
Top Bottom