Kuna nyingne zinakua angalau maana kuna kua kuna story kubwa nyuma inayo connect ila nyingne zinakua zina kastory kadogo tu na hakapo interesting kama blindspot 3 ilivyo sasa had inaboa asee bora zile zilizopita
[emoji23] [emoji23] na ukifatilia zaidi likija suala la sijui army trafficking, na silaha za ajabu ajabu wanakua warussia, kujilipua waarabu likija swala la drugs bas Mexican au asian halfu wamarecan wao ndio wazee wa kuweka mambo sawa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.