Search results

  1. A

    Askofu Gwajima atangaza mfungo wa kumng'oa AMALEKI katika nchi

    🤣🤣🤣..hii nchi aisee..!
  2. A

    Leo nimejua kwanini Makaburu wa South Africa walikuwa wanalamba shaba Wasauzi asili

    Wa-south weusi ni wavivu na walevi sana..Kwa kivipi ni mijinga na mipumbavu kupindukia
  3. A

    Tumuombee Mdude Nyagali, hukumu yake ni tarehe 28/6/2021

    Mungu atamjalia wepesi..naamini atakuwa raia huru na ataungana tena na familia yake hiyo tarehe 28, inshallah.
  4. A

    Tundu Lissu, vita na Wasafi hutoiweza, utagalagazwa wewe na chama chako

    Yaani mkuu kuna watu wanashangaza sana. Wanafikiri kila mtu ana akili fupi kama zao.
  5. A

    Tundu Lissu, vita na Wasafi hutoiweza, utagalagazwa wewe na chama chako

    Eti utagalagazwa wewe na chama chako..!.you must be insane you village idiot.!
  6. A

    Tundu Lissu, vita na Wasafi hutoiweza, utagalagazwa wewe na chama chako

    Lisu ametoa maoni yake ni haki yake..na wala hajasema anataka kila mtu awe chadema..heshimuni hilo.
  7. A

    Mtangazaji wa ITV leo sauti yake ina mikwaruzo sana?

    Nadhani ana matatizo ..sauti yake inakera sana kuisikiliza..nashangaa ITV bado wamelala tu..
  8. A

    Mkuu wa Polisi wa Hai alishirikiana na Ole Sabaya kwenye Uhalifu, naye akamatwe haraka sana

    Huyo OCD wa Hai naye ni mhalifu vilevile akamatwe..alikuwa anashirikiana na jambazi Sabaya kwa kufumbia macho maovu yake na genge lake wazi wazi. Hana cha kujitetea katika hilo
  9. A

    Hamis Taletale: Neno Rais litumike kwa Rais wa nchi na si wengine kama TFF

    Wabunge wa ccm wengi wao ni hovyo sana..
  10. A

    Hakuna mwenye akili timamu atakayemuamini Mbowe na Chadema kuchangia hela? Kwanini hazindui ujenzi Arusha au Moshi?

    Mkuu ni makosa makubwa sana kufumbia macho maovu yalitendwa kwa kisingizio cha aliyeyafanya hayupo kwahiyo haitasaidia kitu!.Kwa mtu makini ni lazima yasemwe ili iwe fundisho yasije kurudiwa tena..hii ni muhimu sana. Hili la hayati kuwa na chuki kubwa na watu wa kaskazini mbona lilikuwa wazi...
  11. A

    Uchaguzi 2020 Picha: Lissu aendelea na kampeni huko Marangu

    Hakyanani...!.kuna mtu atakufa kwa presha mwaka huu..mvuto wa Lissu si wa kibinadamu walah!
  12. A

    YouTube is down this time

    Ndio...ni kwa sababu za kisiasa..vipi bado hautumii VPN mkuu?.kama bado download proton VPN then install kwa simu yako..ni bure..baada ya hapo YouTube kama kawa
  13. A

    Radio Free Afrika watakiwa kujieleza kwanini wasiadhibiwe kwa kurusha kipindi cha 'Amka na BBC' bila mizania

    Wameambiwa na TCRA ni marufuku kwa vituo vya Radio na Tv za ndani kujiunga na hayo mashirika ya nje bila kupata kibali. Kazi kweli kweli, yaani ni pini kwa kwenda mbele kuelekea uchaguzi.
  14. A

    Uchaguzi 2020 Tunautakia heri Mkutano Mkuu wa CHADEMA, nyie ndio tumaini la wanyonge halisi

    Lissu ana kura yangu, wasipomuweka sikanyagi kwenye kituo cha kura October
  15. A

    Msaada:Psychometric Assesment Test

    Hao ni wezi tu mkuu utapigwa mchana kweupe
Back
Top Bottom