Elimu ni kitu cha ajabu sana. Pindi unapoelimika zaidi ndivyo unavyokuwa risk
Conscious and the vice versa is true!. Kwa hivyo sishangai nionapo kipanya akifanya mambo bila kuwa na tahadhari!!! Mtoto asiyejua kwamba nyoka ni hatari anaweza kwenda kumshika mkia na ikiwa nyoka mwenyewe alishakufa...
Nadhani tumetekwa na historia... kwamba ni lazima tuendelee na muungano kwa vile tukiuvunja tutakosa sifa ambazo tumekuwa tukipewa na kupigiwa mfano afrika!!!!! MATOKEO YAKE MUUNGANO UNALAZIMISHWA KIASI KWAMBA BARA INAONEKANA KAMA VILE INA AGENDA YA SIRI KATIKA MUUNGANO - KAMA COMORO WAMEWEZA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.