Search results

  1. M

    Tahadhari kwa madereva wa magari

    Siku za karibuni kumeibuka ntondo kwa askari Wa barabarani kutumia photo editor.. wanakubambika kesi huku unawatazama hata haya hawana ..mfano mwezi Dec nilikuwa nasafiri kutokea Dar kwenda Moshi nilipopita mto wami kwa mbele nolikuta askari polisi kikosi cha usalama barabarani wakanisimamisha...
  2. M

    mahusiano na mapenzi

    jamani naombeni ushauri wenu! huyu mtu ni rafiki yangu wa karibu hata kule kutoka kwangu anakufahamu na ni msiri wangu sina mwingine, ninakuwa ofisini yeye anakuwa nyumbani na baadae shemeji yake anataka kuja town kwavile yeye yupo maeneo hayo na atakuja town ninampatia namba ya shemejiye...
Back
Top Bottom