Search results

  1. N

    Pigo la mwaka,Mwigulu aibomoa CHADEMA,mbunge wake na madiwani wawili kutimkia CCM!!

    [inamaana ukitaka kujiunga na ccm yakulazimu utume barua ya maombi kwa mwiguru?] Propaganda zingine hazina kichwa wala miguu!
  2. N

    Augustino Lyatonga Mrema ni mpinzani ama mtawala?

    Hajui anafanya nini. Amefilisika kisiasa.
  3. N

    Mafisadi wafilisiwe, Serikali itumie risiti na traffic 'notifications' za elektroniki - Wabunge

    Kupitia Kamati yako ya POAC tunatarajia uzibe mianya ya kifisadi. Tumesha kuandikia e-mail kupitia anwani yako ya Bunge. Tumekueleza mengi ya kifisadi yanayofanyika kwenye taasisi ya Umma. Pls fanyia kazi. Najua muda si mrefu watakuja mbele ya kamati yako kwa ujanja mwingi. Waangalieni kwa macho...
  4. N

    Arusha na mabilionea majambazi

    Hi thread imekua mno ya kijumla (general) Arusha wapo matajiri wa ukweli na wapo wa njia za panya. Nimetumia tajiri hapa kwa kuwa Bilionea kwingine ni kipimo cha utajiri. Kwetu kama baadhi ya wachangiaji walivyosema bado mfumo umekaa vibaya sasa hivi nchi nzima kuna hao tuwaite bilionea wa unga...
  5. N

    Nafasi za kazi: Stella Maris Mtwara University College (STEMMUCO)

    [tunashukuru kwa taarifa hizi nadhani mtatenda haki. Kuna vyuo kama arusha technical college (atc) kupata kazi pale ni mpaka uwe na kaka, mjomba au shangazi ndugu vinginevyo hakuna. Matangazo yao ya kazi kama hujulikani ni ya kusumbua watanzania wenye kiu ya kazi. Hii ni mbaya sana!]
  6. N

    Je jeuri ya Ponda ni udhaifu wa Rais Kikwete? Mbona 2000-2005 hakua na jeuri na kiburi hiki?

    Waislamu tuna shida gani duniani? Kwanini tunadhani tu kuwa tunakandamizwa? Mkandamizi wetu ni nani? Tunahitaji kufikiri zaidi. Nakubaliana na mada.
  7. N

    Furaha ya MNEC Arusha Mjini G' Mwalusamba kwa Kuhamishwa RC Arusha

    Ya lini tena? Ni habari ya hakika kuwa Mulongo kwenda Mtwara?
  8. N

    Petition: Tumshtaki Pinda

    Hili ni wazo jema. Ni Tanzania pekee ambalo ni Taifa la viongozi wanaodharau wananchi wake. Hii ni kwa sababu kila wakionesha dharau zao kwa wananchi tunakaa kimya. Ni lazima ifeke mahali viongozi wajiulize ni nini kitatokea ikiwa watasema au kufanya kwa nanna fulani.Chukulia maneno ya Polisi...
  9. N

    Kuacha haya yaendelee ni kudumaza Taifa

    Ndugu wana Jamii Chuo cha ufundi Arusha kilipata mamlaka ya kujitawala chenyewe kupitia tangazo la Serikali la Machi, 2007. Chuo cha Ufundi Arusha kiko chini ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi. Kwa mamlaka Chuo kiliyopewa, kilipelekea Chuo kupata Mkuu mpya wa kuendesha shughuli za Chuo...
  10. N

    Mahudhurio rasmi mkutano wa Mwigulu Nchemba jijini Dar es salaam

    Mwigulu Nchemba ni janga la Taifa. Watanzania wameshajua. Watu wanakimbia majanga, hawakimbilii. Hili ni jibu kwa mhusika. Asante Wananchi kwa utambuzi huo.
  11. N

    Yusuf Makamba: Lowassa ni mtu wa watu!

    Jamani, Tuliangalie jambo hili kwa umakini unaostahili. Tuweke maslahi ya Taifa mbele. Tukiangalia rasilimali zote tulizo nazo Tanzania tunastahili kuwa hapa tulipo?! Tujiulize, kwanini tupo hapa? Ili tuendelee tunahitaji watu, ardhi na viongozi bora. viwili tunavyo, watu safi tena wengi 45Mil...
  12. N

    Matumizi mabaya ya madaraka nini kifanyike wanajamii tujadili

    Niko kwenye Taasisi moja ya Umma mjini Arusha. Bosi wetu ni mkali sana. Ukali wake unalenga hasa kuogopwa ili alambe hela ya umma kiulaini. Ni vigumu sana mtu kuajiriwa na Taasisi hii kama huna uhusiano na Bosi huyu au jamaa wa Bosi. Bosi huwa anajiandalia Bajeti ya Taasisi na Kuamua kutumia...
  13. N

    Aibu kubwa CCM - wakimbia mdahalo wa ITV leo kuhusu vikosi ndani ya vyama vya siasa!

    Wao wanafikiria KUPIGA TU WANANCHI WASIO NA HATIA. Aibu kwa chama kilichoshika dola kwa miaka 50. Mimi nasema ikifika 2015 CCM wapigwe chini tu!
  14. N

    Aibu kubwa CCM - wakimbia mdahalo wa ITV leo kuhusu vikosi ndani ya vyama vya siasa!

    Hawawezi kujitokeza kwa kuwa hawana lolote la maama. Mambo yao ni ya chini ya uvungu tuu. Wakwapue mabilio ya fedha la wavuja jasho kifisadi na kutumia dola kuwalinda. Tudhamirie kwa nguvu zote kuwang,oa kwa njia yoyote 2015. Kuendelea kuongozwa na wapiga ramli ni hatari na hatutakaa tufike...
  15. N

    Freeman Mbowe, Sugu, Msigwa na Lema

    Utajiri wa Tanzania Unaizidi nchi ya Afrika Kusini, lakini sisi ni kati ya masikini sana Duniani. CV za hao wanaoitwa mamesoma karne hii wamefanya nini? Siku hizi CV nazo huchongwa vilevile. Walikoendelea ukishawapa CV inawekwa pembeni wanakupima unaweza nini. Hawaishii tu kwenye CV. Wanajua...
  16. N

    Matumizi mabaya ya madaraka

    Nashukuru kwa maoni niliyoyapata kutokana na habari fupi niliyoitoa kuhusu matumizi mabaya ya Madaraka. Nilipenda kuiweka vile ili nione watanzania wenzangu wanalionaje jambo kama hili au wangetoa maoni gani kwa ujumbe husika. Naomba nifafanue kama ifuatavyo: Kwa kweli kama Ilivyochangiwa...
  17. N

    Kwa heri wasomaji wangu mie nimeamua kujinyonga

    Wewe ni jembe. Ukipungua katika majembe machache yaliyopo tanzania wenye nia mbaya na nchi watajihesabu wameshinda. Kikubwa ni kuendelea kuwepo na kuelimisha ambao bado hawajatambua tulikofikiswa na viongozi uchwara.
  18. N

    Ushindi wa CHADEMA Arusha: Ushauri wa bure kwa CCM

    Ukweli Umedhihirika! Chadema wameshinda na fujo hakuna. Wanachadema wanatambua ya kwamba Tanzania yenye amani ni bora kuliko fujo. Uchaguzi utakuja na utapita lakini Tanzania itabaki. CCM watambue kuwa haki ikidhulumiwa Mungu hulipa kwa njia yake yeye kwani alisema visasi vyoye atalipa yeye...
  19. N

    Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    Nawatakia kila la heri wanajamii. Najua wenye haki watashinda uchaguzi. Big up JF team
  20. N

    Matumizi mabaya ya madaraka

    Habari wanajamii? Kuna watu wamepewa dhamana ya kuongoza badhii ya taasisi za UMMA, badala ya kufanya kama sheria inavyowaelekeza kufanya wanafanya wanavyotaka wao. Kwa Mfano kuna taasisi fulani Mkoani Arusha, Mkuu wa taasisi hii ameamua kuweka marafiki zake na wasaidizi wake kwenye BODI ya...
Back
Top Bottom