Search results

  1. manuu

    Msemaji wa Jeshi la Polisi ashambuliwa na raia kwenye mazishi ya ASP Kirumira

    Hata Paka ukiwa unampiga kwenye chumba ambacho anashindwa kukimbia hugeuka chui ghafla na kukurarua...
  2. manuu

    Hiki ndio wanakwenda kukifanya Acacia baada ya kuondoka na ambacho pia kitafanywa na wadai wetu wengine

    Ama B yake nchi italazimishwe iwaache jamaa wachimbe na kuchukua madini yetu mpaka wafidie hiyo pesa hiyo si chini ya miaka 20.
  3. manuu

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO Anagalieni hao wafanyakazi mlio waweka kwa ajili ya kupokea na kushughulika simu za wateja wamekuwa hawapokei simu kabisa simu mtu unapiga hadi mara tano lakini hakuna inayopokelewa sasa nini maana ya udharura hapo, kama mnavyosema dawati la dharura? Hii ni kwa dawati la Arusha.
  4. manuu

    Tetesi: Ufunguzi wa barabara ya Arusha-Tengeru double carriage road!!

    Na zile nguzo za taa sijui ni urembo waliweka mpaka leo hazijawahi kuwaka.....
  5. manuu

    Hata wewe Mzee Kinana huoni tatizo?

    Huwa namkubali sana Mzee Kinana alishawai kusimama nakumwambia mkuu kuwa lazima afikie mahali akubali kushauriwa na hakumumunya maneno...Ila nilipomsikia na Bashe akitema sumu bila kujali yupo ndani ya nyumba ya kijani...Basi nikawaza upinzani wangempata kiongozi mwenye asili ya Somalia hakika...
  6. manuu

    CHADEMA kama punda anayekata roho anarusha mateke ya mwisho

    Napata mashaka hata na uwezo wako wa kufikirii....Ni nani atakayekumbusha serikali kutimiza majukumu yake pindi Upinzani ukifa kwa kudhulumiwa ni nani atakaye ifanya Serikali ijiendeshe kwa kufuata na kutii sheria kama nchi itarudi na kuwa ya chama kimoja...Mbali na itikadi za kichama upinzani...
  7. manuu

    TANZIA: Diwani wa CHADEMA Kata ya Namwawala mkoani Morogoro auawa kwa kukatwakatwa mapanga

    Hizi damu zinazotiririka kwenye ardhi ya Tanzania hazitatuacha salama kabisa.....Lazima tutazilipa kama taifa...
  8. manuu

    Elewa sababu za kutaka Waziri Mwigulu ajiuzulu

    Napata mashaka sana kama anaweza kuwa fair kwa Watanzania wenye itikadi tofauti kama yeye mwenyewe pamoja na kuwa Waziri mwenye dhamana ya kulinda usalama wetu anasimama majukwaani tena kumnadi wa Mbunge wa chama tawala kwa kuonyesha Upinzani si pahali sahihi....Likija swala la kuwathibiti...
  9. manuu

    CHADEMA wekeni bayana msimamo wenu

    Hivi kweli kuna mtu asiejua mbinu chafu zinazotumika na chama tawala kwa ajili tu ya uchu wa madaraka imefikia hata hawathamini uhai wa wanachi wake, wamerudisha biashara ya kununua watu, kutumia mabavu ili mradi tu wabaki kwenye dola.....Hakuna marefu yasiyo na ncha...
  10. manuu

    Je, wanawake wanajitoa kuwa tegemezi kwa wanaume?

    Hadi imepelekea wazazi wengi wana amini kwa sasa watoto wakike wanamsaada mkubwa kwao kuliko wakiume.....
  11. manuu

    Dr. Mollel aibomoa tena CHADEMA Siha

    Njaa huwa haichagui wewe umesoma kwa kiwango gani...Unaweza tumika kama dekeo tu...
  12. manuu

    Namuunga mkono Ester Bulaya kwenye suala la fao la kujitoa

    Job security yenyewe kwa sasa Zero, serikalini kumekuwa kama Sector binafsi tu mtu anakufukuzia kazi jukwaani then unakuja amabiwa na mafao yako yenyewe mpaka uzeeke ndiyo uyapate...Cha ajabu kisa wazo limetoka upinzani litapigngwa kwa nguvu zote...
  13. manuu

    Kwa Kauli hii Rais Magufuli anatangaza rasmi anaamua mambo bila kujali sheria ya manunuzi

    Anazidi kuweka msisitizo tu kwenye ile kauli yake ya kuwa ''HAPANGIWI'' na kuliko afanye unachomshauri hata kama ni chema bora asuse ufanye wewe...Very nice..eeeh?
  14. manuu

    Tunajua una wivu na nafasi ya urais na rais eti anafaidi nawe kawe rais ujenge kwenu

    Tatizo nyie hampendi kukosolewa wala kuelezwa ukweli na hii ni dalili ya watu wasio jiamini......Uwanja kujengwa chato kwa faida ipi sasa..... Trafic light chato...Kweliii mahali hakuna hata foleni ya magari...Ndiyo uzalendo huo?
  15. manuu

    Freeman Mbowe is ready to bring in the House statistics showing that Magufuli is biased towards certain appointments

    Na asipoelezwa ili apunguze upendeleo wa wakwao na kanda yao baada ya kiwanja cha ndege Chatle atakuja na bandari kavu kule kule chatle.
  16. manuu

    Wanaume wameumbwa kutamani, wanawake wameumbwa kutamaniwa

    Utafiti nao ukagundua kuna vitu 7 wanawake huwa wanavipenda mno kutoka kwa wanaume ambavyo ni ngumu sana kila mwanaume kuwa navyo...Ndiyo maana unakuta mwanamke ameolewa ana timiziwa kila kitu ila anatembea na kachalii cha hapo mtaani kisa anasema amependa tu mpangilio wa meno wa huyo chalii.....
  17. manuu

    Hati ya kusafiria ya dharura (Temporary Passport) sasa kutumika kwa safari moja tu nje ya nchi

    Inabidi waimarishe upatikanaji wa hizo International passport sasa nakumbuka yangu ilijaa nikawa nafuatilia ingine ilinichukua miezi minne kupata kisa tu walikuwa wakiniambia vitabu vimeisha nchini......
  18. manuu

    Ni mda gani na ni vigezo vipi mpenzi kuwa mchumba?

    Hakuna mda maalumu katika hili pale unapoona umejua ABC za mtu wako na zinakidhi kwa asilimia kadhaa yale matarajio yako...Hapo ndipo wakati muafaka wa ku-upgrade mahusiano yenu.....Ila haitatokea kumpata mwenye sifa zote unazozitaka madhaifu mengine huwa tunasema tutarekebishana wakati safari...
Back
Top Bottom