Search results

  1. R

    Nijuzeni kuhusu mapishi ya mbaazi

    habari, je mbaazi zaeza pikwa bila nazi? pliz naomba kujua namna nyengine ya kuzipika
  2. R

    Karibuni

    Habari wapendwa, si mbaya mkikaribia nanyi. Dah nlipata wageni, nkaangalia kwa harakanpike nini simple, nkaandaa hivi. Karibu
  3. R

    Nifanyaje ili mchuzi uwe mzito

    Habari, Jamani mwenzenu naomba kujuzwa nifanyeje ili ninapo pika mchuzi uwe mzito, na kuwa wa rangi iliyokooza, inakaribia black. msaada please
  4. R

    Futari ya leo jamani

    habari wanajfchef, leo nmeandaa ftari ya vipopoo. skuwa na maziwa, hivyo nmepika kwa nazi, kwa vile tumefunga wameonja watoto, tusubiri jioni vtakua mkekani inshaallah. Karibuni saana, ramadhan njema.
  5. R

    Chapati za maji

    Habari zenu wanajf, jaman naomba maarifa juu ya chapati za maji kuganda kwenye chuma, husababishwa na nini, na litokeapo nifanyeje ili chapati znazofata zitokee vizuri?
  6. R

    mapishi ya nyama ya kusaga

    Habari wadau, jioni hii nmeletewa nyama ya kusaga yafika kilo na nusu, ukweli hii ni nyingi sana kwa kupikia katless tu za watu watano hapa nyumbani, tusaidiane vitu vyengine ambavyo ntaweza kuitumia hii nyama kuipikia
  7. R

    home decoration

    Nimekuja kwenu members mnisaidie, nna idea yangu ya kuja kuwa na duka kubwa la vitu vya mapambo ya nyumba, yani mapazia, mashuka, maua, stand za maua, makapet, doormats, nk. Kusema hii biashara natamani sana kuifanya, nipo morogoro, na sjajua wapi ni nafuu kwangu kupata kwa jumla vitu hivyo, pia...
  8. R

    hellow

    hi JF members, mi ni mgeni humu
Back
Top Bottom