Search results

  1. bothlegs

    Nyerere alikuwa mkoloni mwenye ngozi nyeusi

    Ndio maana alianzisha jela za wazi,akaziita vijiji vya ujamaa na kujitegemea
  2. bothlegs

    Kwanini Marais wa Tanzania ni Waislamu na Wakatoliki tu?

    Si kweli kwamba WARAQA BIN NAWFAI NDIYE ALIYEMPA MOHAMED UTUME. Allah (S.W) ndioie aliyempa utume MTUME MUHAMMAD Kuran: 48:8 Hakika tumekutuma wewe uwe Shahidi, na Mbashiri, na Mwonyaji, kuran 25:56 Nasi hatukukutuma ila kuwa ni Mbashiri na Mwonyaji
  3. bothlegs

    Majibu ya Rais Samia Kanisani KKKT Kuhusu Bandari "Hakuna Jambo Lisilo na Changamoto"

    Hawa wanasema tu,lakini ukifika wakati wa uchaguzi wataichagua CCM tena.Kirefu cha CCM ni CATHOLIC CHURCH MOVEMENT.
  4. bothlegs

    Bandari na unafiki wa Watanganyika

    Waamabie ukweli,baada ya kukaa bara na kutumia fursa zinazopatikana katika rasilimali ziliopo huko Tanganyika wakachimba madini,kuvua samaki au kulima kilimo cha kisasa wanakuja Zanzibar kuuza karanga,kumwagilia bustani za mahotel,kudanga,wnaranda zanzibar nzima kwa miguu wakikuuza...
  5. bothlegs

    Mikutano inayozungumzia mikataba haitokuwa na maana bila kutaja MOU ya Serikali na kanisa

    Kwani hiyo ardhi ya Tanganyika imeumbwa na nini?Kwani kwenye huo mkataba wa Bandari kuna sehemu inasema Dangayika itakuwa nchi ya kiislamu? Au malkia Elizabeth ndio alileta udongo kuka Uingereza na kuifukia bahari na kuifanya Tanganyika? Hiyo ni Tanganyika au Danganyika?Mikataba mingapi...
  6. bothlegs

    Mnajisikiaje kuona msiyempenda ndiye anashangiliwa na wapiga kura?

    Kazi ya Mungu haina makosa na wala hairekebishwi na binaadamu yeyote
  7. bothlegs

    Masharti ya kuwekeza Zanzibar kwa Mtanzania bara na mgeni

    Na mkizubaa atawatia vidole mpaka katika jicho la kati jicho
  8. bothlegs

    Rais Samia: Mimi ni Mzanzibari

    Kama yeye ni Mzanzibari,kuna wengine ni wazazi baa na wadanga nyika
  9. bothlegs

    Rais Samia: Mimi ni Mzanzibari

    Kama yeye ni Mzanzibari,kuna wengine ni wazazi baa
  10. bothlegs

    Mbeya: CHADEMA wapinga agenda ya Katiba Mpya

    Hii ni sawa na kusema nyama ya nguruwe sili ila mchuzi wake nakunywa
  11. bothlegs

    Uchaguzi 2020 Magufuli(Mlowa): Ubunge sio 'madigrii' ni kipaji kutoka kwa Mungu; mkichagua Wapinzani nitashindwa kuwatumbua wasipofanya kazi

    Mgombe urais wa chama kilichopo madarakani umewahi kuyasikia mameno haya .You can fool some people sometimes,but you can not fool all the people all the time.Kutoka katika wimno wa Get up Stand up Get up, stand up, stand up for your rights Get up, stand up, stand up for your rights Get up...
  12. bothlegs

    Uchaguzi 2020 Kwa press hii, Polepole anakivuruga chama, atafutwe mtu mwingine wa kufanya press

    Huyu sio Humphrey Polepole,nadhani anafananishwa.Kiukweli jina lake halisi ni Hamfurahi Mtopolo
  13. bothlegs

    Uchaguzi 2020 Ujumbe maalum kwa ndugu Polepole: "Maalim Seif ni sauti ya Zanzibar"

    Hamfurahi Mlo Palepale ameshafilisika kisiasa. Aache uhuni wake wa kuwatukana watu wazima. Tena akome mara moja kuzungumza upuuzi wake. Huu wadhifa wako wa Uwaziri wa Upuuzi na Mambo yasikuwa na Maana mwisho wake chumbe.
Back
Top Bottom