Search results

  1. Chujio

    Hebu tufikirie kidogo

    Salamu! kwa wale wakristo na waamini wengine ati medically speaking, na kwa physiological facts naombeni sababu zilizopelekea kifo cha Yesu. 1. hypovolemic shock 2. shock due to pain 3..... 4..... 5..... .. .. .. Karibuni tujadili, naomba tusiliidiscuss kwa kulenga imani, let's view it...
  2. Chujio

    waandishi wa magazeti...msituharibie lugha tafadhali

    hili halijaanza jana wala juzi ila siku hizi imezidi mno na kuwa kero. tafadhali sana waandishi wa magazeti, naombeni mzigatie uandishi wa kiswahili fasaha na sahihi pasipo kukera wasomaji... unakuta mwandishi kabisa anaandika neno "razi" au "lazi" badala ya radhi kwenye gazeti linalosomwa na...
  3. Chujio

    sikiliza mazungumzo haya...

    wikipedia: ninajua kila kitu google: nina kila kitu facebook: namjua kila mtu internet: bila mimi hamna kitu umeme: endeleeni kuongea.....
  4. Chujio

    Hodi..hodi....

    hodi hodi uwanjani, kwa wa vioo vya rangi na wa viganjani, nakaribia uwanja wa nyumbani, ....niendelee? :redface:
Back
Top Bottom