Search results

  1. nandembako

    Bawasiri

    Tsh 30,000 kwa mtu anayekuja kuchukua mwenyewe,mimi nipo njombe...lakini kwa anayetumiwa anatoa elfu 45,000
  2. nandembako

    Bawasiri

    Ndio mkuu
  3. nandembako

    Bawasiri

    BAWASIRI kama unataka kupona kabisa na kwa uhakika just call this number 0755780631,0620448976 Usipopona unarudishiwa hela yako...na ni ndani ya siku mbili unaona mabadiriko.
  4. nandembako

    Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Kuna watu humu nimewapa dawa ya bawasiri na matokeo yalikuwa ya haraka sana,labda kama sio bawasiri...ila kwa bawasiri hutakiwi kusumbuka,na ni tsh 50,000 tu kwa mkoa wowote.
  5. nandembako

    Mji wa Ifakara ni mzuri kuliko Njombe mjini

    Sasa six km toka mjini kuna pori halafu unafananisha na njombe....dah kweli umeamua kutuchafua
  6. nandembako

    Mji wa Ifakara ni mzuri kuliko Njombe mjini

    Wewe ni mluguru enheee,basi kaa huko kwenu ifakara...mbona wa njombe hatujifananishi,yaani tunashindana na wakati wetu sisi wenyewe..
  7. nandembako

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Achana nao...njaa zinawafanya wajibu bila hoja....
  8. nandembako

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Yaani huoni anatembelea sana sehemu ambazo hazifanyi vizuri,unashindwa kuelewa hata jambo dogo namna hiyo ...angalia sehemu ambazo rais haendi means hazina emegency au hazikwami,wanajiweza waliopo huko
  9. nandembako

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    We jamaa wa mwisho kabisa,hivi hauangalii hata takwimu,kuanzia mapato na kila kitu...njombe inakuzwa na wenyeji wake,kahama inakuzwa na wahamia...unadhani upi ni mji consistency,mzee hiyo mitaji unayowaona nayo wakinga maeneo yeyote wameanzia njombe,sasa kahama kuna wakina nani matajiri wakubwa...
  10. nandembako

    Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Sio wote,mimi kuna watu karibia watano kutoka humu nimewasaidia,wanaendelea vizuri....na tunawasiliana kwa ajili ya ndugu zao na watu wao wa karibu.
  11. nandembako

    Hali ni mbaya sana, nazidi kudhoofika

    Sio kweli,unaona uvivu kuwaza...
  12. nandembako

    Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    KUNA DAWA FULANI YA MITI SHAMBA ALINIPA MAMA FULANI ILIWAHI KUSAIDIA WATU WANGU WA JIRANINA HATA SASA SIJAWASIKIA TENA WAKILALAMIKA,MAJANI YAKE UNAKANDIA SEHEMU HUSIKA NA MIZIZI MAJI YAKE UNAKUNYWA...KAMA NI MAUMIVU MAKALI NDANI YA APPROXIMATELY SIKU TATU UNAPATA MAJIBU....NIPIGIE NIKUSAIDIE NA...
  13. nandembako

    Kati ya Jasusi na Commando, yupi ni mtu hatari sana anayepaswa kuogopwa?

    Chief comando wanastage,na jasusi ni kitendo,comando anaweza kuwa jasusi...,labda niweke hivi askari yeyote anaweza kuwa jasusi,inategemeana ni level gani mkuu...hata raia wa kawaida kabisa anaweza kuwa jasusi.
  14. nandembako

    Kipindi kigumu ndicho hutoa matokeo halisi na uhakika

    Tuache kuitegemea serikali sana,though ina mahali ambapo hata yenyewe nadhani inaona vijana wanahitaji msaada
  15. nandembako

    Kipindi kigumu ndicho hutoa matokeo halisi na uhakika

    Lakini naamini kuna kitu tunaweza tukafanya bila kufika huko,tujifunze kwa walioweza wapi walipatia na wapi walikosea, lakini kubwa kuliko ni kukubali hayo mapungufu ya serikali na kuhamishia mawazo side nyingine,maisha yana mlango wa kutokea daima.
  16. nandembako

    Kipindi kigumu ndicho hutoa matokeo halisi na uhakika

    Nimejifunza kitu, mimi kama mjasiriamali mara nyingi wanapotangaza hali ngumu ya maisha ndio nagundua pia fursa huwepo nyingi sana, na watu ambao wapo serious wanapiga hatua. Umewahi kutazama kwa upande wa pili kuliko kubaki unalalamika? Je, hapo ulipo ni mahali sahihi hujawahi kufikiria...
  17. nandembako

    Chanzo cha mahusiano kupoteza mvuto

    Chochote chenye big impact kina impact kubwa hata kwenye kuanguka kwake...hapa ninajifunza kumbe sio kitu cha wachache...
Back
Top Bottom