nandembako
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 654
- 523
Nimejifunza kitu, mimi kama mjasiriamali mara nyingi wanapotangaza hali ngumu ya maisha ndio nagundua pia fursa huwepo nyingi sana, na watu ambao wapo serious wanapiga hatua.
Umewahi kutazama kwa upande wa pili kuliko kubaki unalalamika?
Je, hapo ulipo ni mahali sahihi hujawahi kufikiria kuzama upande mwingine?
Tafsiri halisi ya mtaji kwako ni nini?
Je, unaamini kwenye uvumilivu?