Search results

  1. Luiz David

    Uchaguzi Jimbo la Kalenga: Matukio na Matokeo - 16 Machi, 2014

    hali mbaya mno kwa ccm......wanaigwaya chadema kama ukoma....mpaka sasa ccm 47% cdm 53% mziki wa chadema lazima ukae.
  2. Luiz David

    Godfrey Mgimwa azidi kuchanja mbuga kwenye kampeni za uchaguzi mdogo Kalenga

    Taarifa zilizopo ni kuwa mama anatisha mpaka sasa....maccm wananunua shahada vya kutosha....baada ya kuona mgombea wao hali ni mbaya saana kwa ujumla mgombea wa ccm bwana mgimwa hauziki kalenga.......msiwapotoshe wana tanzania....
  3. Luiz David

    Lema akamatwe na kushitakiwa kwa kosa la UHAINI!

    Nawasihi watanzania wenzangu tusifanye mchezo na taarifa hii ya mh rais.....italiangamiza taifa letu.......huyu lukosi anajua ubaya wa hii kauli ila anataka kutupotosha......ni vigumu mno kuamini kama kauli hii kweli imetolewa na mh rais......
  4. Luiz David

    Muda Uwaziri mkuu wa Mh. Pinda wahesabika

    kuna watu wanadhani wanafikiria.....asilimia kumi na tano...tano tu ndo wanafikiria..themanini hawafikirii kabisa.....lukosi yupo namba tatu.....
  5. Luiz David

    Muda Uwaziri mkuu wa Mh. Pinda wahesabika

    Kwa ujumla ripoti ya selelii inatoa taswira ya uwingi wa wakiukaji wakubwa wa haki za binadamu tulionao.....kwa mwavuli wa serikali.......
  6. Luiz David

    Muda Uwaziri mkuu wa Mh. Pinda wahesabika

    hivi mwa lukosi utakua lini na kufanya japo propaganda pevu kidogo.....manake huna haya......
  7. Luiz David

    Serikali yakerwa na vyama vingi.

    Ndugu wadau nafuatilia kwa kina mijadala anuai hapa nchini..iwe rasmi na isiyo rasmi...nagundua kuwa kuna daraja limejengwa na serikali kwa ubia mkubwa na chama tawala likilenga kukwamisha mafanikio ya vyama vya upinzani na wanaharakati......kama wana demos tunahitaji mtazamo tofauli ili sura...
  8. Luiz David

    Heko chadema

    Nafuatilia kwa makini mno yanayotokea chadema,,,, wanao yapinga wanakuja na hoja za ubinafsi na si zenye mahadhi ya chama,,,wanaibua vioja vya udini,ukanda na ukabila,,,,....ndugu zangu kujisafisha kupo.tuelewane na tuwe majasiri..........kina kitila hawajaweka ushahidi wa kutosha wa matumizi ya...
  9. Luiz David

    CHADEMA Singida Yamshangaa Mwenyekiti aliyejiuzulu...

    hebu kuweni wazalendo wenye utashi......msiutafsiri ubora wa chadema leo kwa vioja vya udini na ukabila.
  10. Luiz David

    Mjane wa Mwangosi akiri kupokea fedha kutoka kwa Mch. Msigwa

    Chadema wabunge wake ni makini mno.
  11. Luiz David

    Mjane wa Mwangosi akiri kupokea fedha kutoka kwa Mch. Msigwa

    Watu waache unafiki....mama mwangosi kakiri mwenyewe kupokea hizo pesa then ana ibuka mtu analeta chokochoko.
  12. Luiz David

    Lukuvi anayumbisha serikali ya JK

    Unajua nchi yetu ina vituko saana...... Viongozi wamejitenga na watu......madudu ya ujangili wanafanya wao na wadau wao... Then wahanga wananchi...
  13. Luiz David

    Lukuvi anayumbisha serikali ya JK

    Unajua nchi yetu ina vituko saana...... Viongozi wamejitenga na watu......madudu ya ujangili wanafanya wao na wadau wao...
  14. Luiz David

    Lukuvi anayumbisha serikali ya JK

    Dahhhh simiyu kuna shida......
  15. Luiz David

    Lukuvi anayumbisha serikali ya JK

    Namkubali saana plato........philosopher kings should rule.............. Makanjanja mhhhhhh
Back
Top Bottom