hivi nyie wanasiasa wa bongo msitufanye sisi watoto wadogo 2010 mlisema cuf na nccr ccm b sasa hivi act nayo ccm b tuelewe nini sasa acheni hizo Mambo wote nyie wasaka tonge tu hakuna jipya mnatetea maslahi yenu bongo hakuna siasa kuna matapeli wa kisiasa upumbavu mtupo hakuna mwenye uchungu wa...
hivi nikienda Vodacom na namba ambayo nilikua natumia Kwenye modem wakati wa kuingia internet wanaweza kunipatia ip adress ya computer iliyopotea then tukajua nani anaitumia hiyo computer na namba ya simu ya hiyo laini anayotumia kuingilia internet..vp hii idea itafanikiwa kweli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.