Search results

  1. K

    Naomba muongozo wako mkuu..p'se...!!

    inakuwa nn sasz!! milk shake au valuu shake! au nyonyo shake!!!
  2. K

    WIVU: Maana, faida na hasara zake

    wanakupigia wakati gani?kwa mazungumzo gani? kama ya kikazi nitamshangaa pia, lakini kama simu inapigwa wewe unajiumauma kuongea, au inapigwa usiku bila kuwa na mazungumzo ya maana, mara ooh nilikuwa nakusalimia tuu....aaahh jamani...........muache baba wa watu akutandike tuu
  3. K

    Naomba tu leo na kesho njo kwa mwakasege biafra ujifunze maombi ya kujua hatima ya maisha yako

    mkuu shukrani! hebu tupe muda kamili ili tuweze ku-tune kwenye radio kwa sisi tulio mbali ya Daslam!
  4. K

    Nimewaona,nimemshukuru Mungu

    Dah! thread yako imenifanya nikumbuke mbaali mno, sie tulimaliza la saba wanafunzi 17, ni mmoja tu alifaulu!. sikuwa mimi,tuliobahatika kwenda sekondari za private tulikuwa watano tu, unfortunatelly mmoja aliishia form two sadly ni kwamba si kuwa alifeli ili alijiingiza kwenye mapenzi mapema...
  5. K

    Ushauri tafadhali nataka kulinda ndoa, kazi kikwazo kikubwa

    pole mkubwa, hili ni tatizo ambalo linatukabili tuliajiriwa, ndio maana mie kuajiriwa naona kama utumwa vile, nimekuwa na hali kama yako hadi mwaka jana nilipoamua kujivua gamba! hizi ajira bana zinatusaidia lakini wakati mwingine zinatubomolea familia, kaka nadhani anza kujipanga either wewe au...
  6. K

    Mke uliyenae ungekuwa sasa unamchumbia ungemuoa??

    yaani tofauti na kipindi kile namuoa kulikuwa na washindani wanne,ingetokea kwa sasa hivi asingekuwa na mpinzani,angepita bila kizuizi, after miaka kumi kuwa naye anazidi kuwa mpya kila siku,God bless her! pamoja na mapungufu ya kawaida ya kibinaadam ni yeye pekee ambaye sijawahi kumchoka
  7. K

    tafakari,ya wikendi hii

    Katika maisha hapa duniani, yakupasa kutambua ya kwamba Mungu yupo kwa ajili yako na wewe upo kwa ajili ya utukufu wake usiwe mpweke usijilinganishe na wengine, wewe ni wa kipekee,jikubali jinsi ulivyo kuwa rafiki wa kweli kwa watu wote kuwa makini kwenye sala, boresha uhusiano wako binafsi na...
  8. K

    Ninaomba ushauri wa kuachana na vimeo

    Gepema, pole kwa hali hiyo, hili mara nyingi limekuwa ni tatizo la kujitakia na unapokuwa unalitenda unakuwa kama kipofu vile! ni bahati sana kufanikiwa kugutuka kabla ya kukukuta ya kukukuta! I was in the same position lakini nashukuru nimefanikiwa kupambana nalo na niko huru mno, muhimu jua...
  9. K

    tubadilike

    habari ya siku nyingi wana jf naandika huku nikiwa na donge moyoni linalonifanya niseme...i wish i knew.. yes..i wish ni msemo wa kujuta na ndivyo ilivyo.. nimeoa kwa muda mrefu na kwa kipindi kirefu nimekuwa sio muaminifu katika ndoa yangu, kuoa kwangu hakukuwahi kuwa na tofauti na bachelor...
  10. K

    Kwa Nini Wadada na Mama Mnatutega sana?

    niliwahi kununua sumu ya kuulia panya nikawawekea kisha iliyobaki kwenye kifuko nikaihifadhi juu ya kabati, asubuhi naamka hakuna panya aliyekufa mbaya zaidi walikula hadi kile kimfuko.....so mkuu nawe wakikutega kula hadi huo mtego!!!
  11. K

    Kwanini Hawaoani Hadi WAMEONJA?

    mkuu hadi chuo kikuu 20tuuu!!!??? huyo anafaaaa mzee!! wengine wakifika chuo kikuu wanakuwa na uwezo wa kujaza mabasi matatu ya Scandinavia kwa madume yaliyopita..tena level seat!
  12. K

    Taa izimwe isizimwe?

    mwe! huwa nadhima taa then nawasha TV....sijui huwa nakoseaga mieee ah!!
  13. K

    Kwa wanaume tu!

    hapa unajifanya hujui kinachoendelea kisha unavua kama mama anavyotaka, ukishaivua unasaidiana naye kushangaa, kisha unamgeuzia kibao kwa nini kakunyoa kimazingira, unakuwa mkali hadi anaishiwa la kusema, humpi nafasi ya kuendelea......ukitoka hapo huyo tabia ya nyumba ndogo inakufa moja kwa...
  14. K

    Kukimbiza kuku wa kienyeji?

    duuuuu! mi nilidhani ni kuku manyoya kumbe ni kuku manywele anazungumziwa hapa!!!
  15. K

    hongera Jerry Muro

    mate ni dalili ya kumtakia mtu baraka uchagani au siyo mangi?! hongera sana msee!
  16. K

    Nitashukuru mawazo yako!

    hesima mbele mkuu!! amini kuwa sina na sidhani kama nitakuwa nazo juu yake, sina ugomvi nae na namheshimu mno yeye pamoja na mumewe!
  17. K

    Nitashukuru mawazo yako!

    thanks mkuu PJ, wasiwasi wangu naona kama inaweza kumnyima mtoto uhuru na raha moyoni mwake, anaweza pia kujenga masononeko kitu ambacho sitaki kimtokee hili la pili kwa kweli ikitokea kikahitajika chochote niko radhi kwa mikono miwili kutoa , ila sasa nianzeje!?? ..
  18. K

    Nitashukuru mawazo yako!

    nilizaa na binti mmoja miaka kumi iliyopita, hatukuoana na wala hatukuwahi kuishi pamoja, hali ya maisha ilinilazimu kumuomba huyu binti mtoto nimlee na alinikubalia, niliishi na mtoto hadi nilipokuja kuoa miaka kama minne baadae,na nina wadogo zake kwa wife, bahati nzuri huyu binti naye alipata...
  19. K

    Wana JF, Hivi kuna tatizo gani kuoa mwanamke aliyekwisha zaa

    mkuu usihukumu watu wote kwa huo mtazamo wako! binafsi mimi kuna binti tulijaaliwa kupata mtoto nae ila hatukuoana, mtoto akiwa na miaka minne nilioa na tulikubaliana nae akanipatia mtoto bila ugomvi, mahusiano yetu kingono yaliishia pale na yeye kaolewa na ana watoto wawili kwa mumewe hadi...
  20. K

    Wadau nahisi nimeibiwa

    hee! duuu...wewe ni zaidi ya muarubaini!!heshima kwako
Back
Top Bottom