Search results

  1. T

    Tanzia: Naibu Meya CHADEMA Moshi Mjini afriki dunia

    Pole kwa ndugu, jamaa na marafiki wa Kamanda Vicent Remoy. Kifo cha Meya huyo ni pigo la pili kwa Chadema ndani ya siku nne baada ya chama hicho Wilaya ya Bunda kuondokewa na Diwani wake wa Kata ya Nyasura, Zamberi Mwisarya (68) aliyefariki katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza.
  2. T

    Tambo za Mangula zatoweka

    CCM ni rushwa na ufisadi, na ufisadi na rushwa ndio CCM yenyewe!. By Pasco
  3. T

    Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

    Wakuu hii mipasho yote ya nini? Hoja ni hii hapa: LOWASSA Shujaa wa Maamuzi magumu lakini asiezungumzia "Ufisadi"huu sio unafiki?? Tuanze na ufisadi ulioanzia kwenye sakata la Richmonduli lililomnyofoa uwaziri mkuu ...
  4. T

    Soma hapa shujaa anayejificha

    Haswa!!! Si ametamba kuwa ataivua nguo CDM, anafuata nyayo zile zile za Mtela, Juli et al. Na bado ana wenzake wataendeleza sakata.....Lakini Mungu atawaadibisha.
  5. T

    Ninatabiri EAC kuvunjika soon!!!

    Sasa wewe unadhani Kenya ndio mhusika pekee wa kuvunjika EAC? In any case jumuiya inaweza kuwa ya nchi mbili, tatu, kumi etc. Tanzania kujiengua leo hakuvunji jumuia. You are in today and out tomorrow and life goes on.
  6. T

    Soma hapa shujaa anayejificha

    Mwigamba ni chui ndani ya ngozi ya kondoo. Kwa aliyoyafanya hastahili kuwa mwana CDM hata akiomba msamaha. Ni msaliti kama akina Mtela et al. Aende zake kwa mabwana wanaomtumia - ccm kwa maana kazi waliyomtuma ametekeleza. Na bado, wako mamluki wengi ndani ya CDM
  7. T

    CHADEMA Ianzishe mabadiliko ya Ndani, Vinginevyo kuiondoa CCM 2015 ni ndoto - Sehemu ya 1

    Indeed! and without need for new constitution!!
  8. T

    Breaking News: Kiwanda cha kutengeneza ndala cha Ok Plastic chateketea kwa moto!

    Hii kampuni nadani ni ya waarabu. Hata hivyo nakubaliana na observation yako; lakini hii kampuni siyo mara ya kwanza kuungua moto. Nadahani kuna kitu nyuma ya mioto hii. Bima wachunguze vizuri
  9. T

    Rais Kikwete afuate ushauri wa Dr Kitila Mkumbo kuhusu Katiba Mpya na kufunika mengi la sivyo...

    Hivi nyie CDM katiba mpya mnaishadadia kwa nini? Acheni hii katiba tuliyonayo iendelee na nina hakika kwa katiba hii hii CDM itashinda uchaguzi 2015. Hivyo mtakapochukua uongozi wa nchi muitumie katiba hii hii kuwapiga maccm kwa kipindi cha miaka kumi ndiyo mfikirie kuunda katiba mpya kwa...
  10. T

    Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

    Siamini amekuwa 'forced' kuchukua sabbatical bali anajiendeleza na akimaliza anaweza kurudia nafasi yake au kupewa wadhifa mkubwa zaidi
  11. T

    Huu ndiyo utamu wa CCM...

    Wanaipenda CCM kama nini cjui!!! Ona matokeo ya chaguzi zilizofanyika 16/06/2013: Kata ya Mbalamaziwa wilaya ya Mufindi: CCM kura 1420; CDM kura 184 Kata ya Ng'ang'awe wilaya ya Kilolo: CCM kura 686; CDM kura 217. Sasa wanalalamika nini kina Lukuvi kuchukua vibali???
  12. T

    Zitto Kabwe: Sijamuoa mtoto wa rais Kikwete, sipo bungeni kwa ajili ya kupigana ngumi

    Mkuu hujitakii maisha? Hako kasimiyu kana ugonjwa wa ......
  13. T

    Kumbe CHADEMA nao wasikitishwa!!

    Join Date 24th September 2013 Last Activity Today 11:38 Avatar
  14. T

    CHADEMA Wapata Mbinu Ya Kupunguza Tabu Ya Tiba !

    Uzi wowote unaomhusu Dr. Slaa makenge ya Lumumba wanapata field day - hupewa buku tisa badala ya saba
  15. T

    CCM ibadili jina ili ikubalike zaidi

    Sasasare zao za kijani na njano wanataka zibadilishwe ili ziwe za rangi gani? - nyekundu na nyeupe?
  16. T

    Tundu Lissu: Tutazipima kauli za Kikwete kwenye Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala!

    Hapo kwenye red: mi nilifikiri ni "makenge ya Lumumba"
  17. T

    Nafikiria Kugombea Urais Naomba Ushauri Wenu

    Urais wa Tanganyika ndio wenye heshima na dhima
  18. T

    Dr. Slaa Atembelea Moja Ya Bandari Kubwa Marekani !

    Hapo kwenye red "wanapewa zaidi ya buku saba wanapochangia uzi wowote unaomhusu Dr. Slaa"
  19. T

    Dr. Slaa Anaendelea Kutafuta Ufumbuzi Wa Tatizo La Kiuchumi. Makampuni yaahidi Maelfu ya Ajira!

    Uzi wowote unaoanza na Dr. Slaa makenge yote ya Lumumba yatajazana na kutoka mapovu yao. we unategemea hoja gani kutoka kwao?
Back
Top Bottom