Search results

  1. A

    Tundu Lissu: Am told, People at the top aren't thinking and acting rationally anymore...

    Nadhani tatizo sio grammar ya iliyotumika bali ni baadhi yetu kuongozwa na grammar iliyokosewa kiasi kwamba hata kitu kilichoko right tunadhani kina makosa hahahaha
  2. A

    Maoni yangu kuhusu 'Maoni ya Dr. Slaa' juu ya pesa za wahanga wa tetemeko Bukoba

    Nadhani hapa issue sio andiko la Dr Slaa au personality yake, bali mwandishi wa uzi huu amejaribu kujikita kwenye context na ndilo la msingi. Kila mtu anawiwa kuwa na mawazo yake anayoyaamini.
  3. A

    Je, huo nao ni ushujaa?

    "Kweli huu sio ushujaa....". Pole
  4. A

    Mbowe Atakuwa na mazungumzo na kamanda wa jeshi la polisi kanda ya Arusha juu ya dhamana ya Lema

    Mudawote Ujumbe kwako 1. James 3:8-10 But no human being can tame the tongue. It is a restless evil, full of deadly poison. With it we bless our Lord and Father, and with it we curse people who are made in the likeness of God. From the same mouth come blessing and cursing. My brothers, these...
  5. A

    Naibu Spika amlinda Waziri Mkuu dhidi ya swali la Mbowe kuhusu rushwa kwa wabunge wa CCM

    Nadhani kusingekuwa na madhara makubwa kama waziri mkuu angetoa jibu lolote kuliko alivyozuia naibu spika. Naibu spika ameanzisha mjadala mkubwa sana.......
  6. A

    Mhe. Lema Umesema Kweli, Tatizo sio Magufuli bali ni Bunge na Mawaziri

    Hebu tujadili mada tuache kuhangaika na personalities....kosa la lema sijaliona . Tmsubiri waziri ajibu.
  7. A

    Mbowe anawadhalilisha Madiwani CHADEMA, awadanganya wafuasi wake bila woga

    Kweli nimekubali wewe ni Kimbunga. Ila hujatuambia kuwa wewe kimbunga kipi.....vya marekani-Mathew, Katarina au cha wapi?
  8. A

    Madiwani wa CCM Kinondoni hawakidhi akidi, watapitishaje maamuzi?

    Unashangaa nini ndugu? Hayo yaliyofanyika jana wakishiriki viongozi wanaojua sheria...haikuwa bahati mbaya.
  9. A

    Mahojiano na Kafulila yafutwa Clouds TV

    Hili ni enou zuri la utafiti, na unaweza pata hela nyingi toka UNDP
  10. A

    Waziri wa TAMISEMI, George Simbachawene, aagiza mkuu wa shule ya Mbeya Day ashushwe cheo

    Jamani issue tayari ipo polisi na itaenda mahakamani, why cant we be patient. Leo naona kila mmoja analake lakini at the end of the case tunaweza shangaaaa wote
  11. A

    Ujenzi holela maeneo ya wazi, nini jukumu la Wakurugenzi wa miji?

    Wanabodi hebu tusaidiane hapa, huu ujenzi unaoendelea kwenye maeneo ya wazi, mbona wakurugenzi wetu waliopo manispaa hawachukui hatua? Maeneo mengi ya wazi yametwaliwa na wenyw pesa! Watoto wetu na wa kwako watacheza wapi? Vikao vyetu vya mitaa vitafanyikia wapi? Jamani tusaidiane katika hili
  12. A

    Suala la Kodi TRA: Magufuli, kwa mwenendo huu utashindwa tu

    Mimi sitaki kuiamini hii makadirio, i gues there is something wrong with the system! Ila.kwankuwa humu ndani wapo pia wakubwa wa tra, watusaide kufunguka! Hatuwezi kuendelea kwa kukwepa kodi! Wanaolipa kodi na ambao hawslalamiki ni wale waliokuwa wanalipa siku zote, therefore hao wanaojifanya...
  13. A

    Uongozi wa serikali mkoa wa Morogoro ni jipu kubwa;vMagufuli safisha mkoa huu

    Niungane nawe Lazalaza, haliya Morogoro nimbaya! Viwanja vya wazi ki!a mahali vimsuzwa. Mipango miji ipo karibu zaidi na iljyowauzia maeneo ya wazi. Shida kubwa. UONGOZI WA MANISPAA NI KAMA HAUPO. LUKUVI TUNAO BA UJE UTUSAIDIE
  14. A

    Waziri Ummy Mwaimu, Uchafu wa Masoko Hamuoni mpaka Kipindupindu kitokee?

    Soko kama la Morogoro na Mawezi (yote hapa morogoro) utadhanni viongozi wa manispaa na wengineo hawanunui vitu hapa.
  15. A

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Ndugu wana jamvi, nadhani wote tupo mamoja katika kusikitikia ubinafsishaji wa maeneo ya wazi. Hili ni tatizo kubw sana. Ukiangalia wanaonunua maeneo ya wazi ni wale ambao tayari wana magorofa ambayo yanaviwanja vya juu kwa ajili ya wajukuu wao. Je mtoto wa mlala hoi atacheza wapi. Ni dhahiri...
  16. A

    Majedwali: Ripoti ya TWAWEZA ya 'Sauti za Wananchi' ya matokeo kuelekea uchaguzi

    Haingii akilini, hata swali jepesi _uzoefu katika siasa.....Magufuli anampita Lowassa ....doubtful! Simu n chaja walipewa vijana randomly selected...hahaha
  17. A

    Sakata la Dr. Slaa: Wanasheria wamkabili Lissu

    This is a cooked analysis. The content doesn't accept the context!
Back
Top Bottom