Search results

  1. hajjmakwato

    Jifunze kiingereza hatua kwa hatua

    Karibu ujifunze Kiingereza Kozi hii ni mfululizo wa vijitabu vya kufundishia Kiingereza cha kawaida cha kuongea. Katika vijitabu hivi, utakuta mazungumzo ya Kiingereza, tafsiri, maelezo na matumizi sahihi ya Kiingereza. Pia kuna mazoezi ya kuzungumza Kiingereza, orodha, misamiati na mazoezi ya...
  2. hajjmakwato

    Simu mpya toleo jipya la Huawei ascend G750_u10 inauzwa

    Habari wanajamvi...kama ilivyoelezwa hapo nina simu tajwa hapo nauza rahisi kwa sh 450 tu. Ili kujua specification zake nenda google ...gsmarena utapata nini kinachopatikana kweny mtambo unaotikisa makampuni makubwa saiv duniani. Mawaasiliano ni 0713422826 niko Tanga
  3. hajjmakwato

    Mavazi ya kanisani balaaa...

    Natanguliza smahani kwa wale wote ambao wataudhika....Nauliza hivi wasichana na wanawake kuvaa nguo fupi wanapoenda makanisani wakati waume hutinga suti ni mafundisho au kanisa laruhusu viguo hivo juu ya magoti...kwapa nje ...kubana makalio ..nk
Back
Top Bottom