Search results

  1. G

    Uchafu wa Dk Kebwe kutumia ofisi ya umma kufanya biashara

    Haya yamesemwa na Rais Magufuli akiwa Dumila njiani kuelekea Dodoma leo tarehe 20 Nov 2019. Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetumbuliwa Dk Kebwe alitumia nafasi yake kupata zabuni za miradi mbalimbali mkoani kwake ikiwa ni pamoja na kupata tender ya ku-supply mbao mbovu. Huyu mtu ni mchafu...
  2. G

    Nani ni Nani jimbo la Serengeti 2020, Stephen Kebwe au Charles Moremi?

    Kumekuwepo na mnyukano wa chini kwa chini katika viunga vya jimbo la Serengeti kati ya wafuasi wa Stephen Kebwe na Charles Moremi wote wakiwa makada wa Chama cha Mapinduzi. Naomba tufanye uchambuzi kidogo juu wa watia nia hao ambao kwa kiasi kikubwa wamekua gumzo katika vijiwe mbalimbali hapa...
  3. G

    Charles Moremi, kada wa CCM aliyewachezea Chadema rafu uchaguzi mdogo Tarime

    Nimemsikia Katibu wa Chadema Mkoa wa Mara Mwl Chacha Heche katika mitandao ya kijamii akimtuhumu Kada wa CCM na mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM aitwaye Charles Moremi kuwa aliwachezea rafu wana Chadema katika uchaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Turwa huko Tarime na kuiba kura zilizowezesha CCM...
  4. G

    Tetesi: Charles Moremi: Kampeni za ubunge 2020 serengeti zimeanza?

    Wadau wa jukwaa hili,kumekuwepo na pitapita kwa kijana mmoja anayeitwa Charles Moremi katika vijiji mbalimbali vya wilaya ya Serengeti na kutoa misaada mbalimbali kama kuchangia madawati huku akisema anaunga jitihada za Mhe. Rais za kuhakikisha wanafunzi hawakai chini. Na inasemekana ni katika...
  5. G

    Mbunge wa Serengeti ni Kiraka katika Baraza la Mawaziri

    Wanaserengeti jana tumeshangaa kuona Steven Kebwe kuteuliwa kuwa naibu waziri wa afya. Tulitegemea mkuu atapunguza idadi ya watakaokuwa mizigo kumbe ndo idadi inaongezeka. Huyu mbunge jimboni kwake kashindwa kuwatumikia wananchi,sijui itakuaje kwa majukumu ya taifa aliyopewa
  6. G

    Anne Kilango: Mbunge asiyeleta maendeleo,aondolewe kwa kura uchaguzi wa 2015

    Mama Kilango kafyatuka,kasema wananchi wasiwape kura 2015 wabunge wasioleta maendeleo. Kaenda mbali kasema hata kama ni yeye wana same mashariki waamue. Wafuatao nahisi waweza kuondolewa 1. Dr Kebwe CCM-Serengeti 2. Mwigulu Nchemba Weka wengine
  7. G

    Mbunge wa serengeti

    Sisi wananchi wa Jimbo la serengeti tumepotelewa na Mbunge anayesemekana anatuwakilisha. Ni mda mrefu sasa tangu wakati wa kampeni hajaonekana. Siku ya mwisho kuonekana alikuwa amevalia shati ya kijani. Inasemekana tangu jimbo hili kuanza wabunge hao wamekuwa wakipotea potea ndio maana maendeleo...
  8. G

    Kwanini CHADEMA hawaandamani Moshi?

    Wakuu na maGT naomba mnisaidie, mbona sijawahi kusikia CHADEMA wakiandamana moshi au ndo kusema Moshi hapana matatizo kama ambayo huwasababisha wao kuandamana sehemu nyingine? Au ndo kusema Moshi hapana tatizo na wakishika dola nchi itakuwa kama Moshi?
  9. G

    Wana serengeti tusifanye makosa tena,tuondoe ukungu machoni, Dr Stephen Kebwe hatufai!

    Umefika wakati sasa wa kumuita mbunge wa Serengeti atueleze anafanya nini ili hali jimbo la serengeti hakuna huduma za jamii na wala hasumbui ubongo wake kufikiria hilo. Hivi wizara ya maji iliposoma bajeti yake na kuhitimishwa kwa spika kusema wanaounga mkono waseme ndiyoooo nawe ukasema...
Back
Top Bottom