Search results

  1. Mshua's

    Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

    Kuna jamaa alikuwa idara ya wanyamapori baadae akahamia nemc mweupe hivi jina nimesahau. Likizo zake huwa anaenda nchi jirani ya Rwanda. Yupo miaka mingi nchini. Nendeni pale nemc muulizie mtu aliyehamia kutoka idara ya wanyamapori mtanishukuru baadae
  2. Mshua's

    Kwa maoni yako nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025

    Mapendekezo yangu, hawahapa nawaona kuwa wanafaa: 1. Kassim Majaliwa 2. Simbachawene 3. Gwajima 4. Dr Ali Hassan Mwinyi Hawa wamekuja kichwani haraka haraka ingawa ishu ya mkristo sijazingatia. Nitarudi baadae kuongeza list au kuiedit hi
  3. Mshua's

    Kwa maoni yako nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025

    Mapendekezo yangu, hawahapa nawaona kuwa wanafaa: 1. Kassim Majaliwa 2. Simbachawene 3. Gwajima 4. Dr Ali Hassan Mwinyi Hawa wamekuja kichwani haraka haraka ingawa ishu ya mkristo sijazingatia. Nitarudi baadae kuongeza list au kuiedit hii
  4. Mshua's

    Expression of Interest becoming a Board Member in Public and Statutory Corporations

    Source ya hii taarifa ipo wapi? Nataka nitume maombi Jamii Opportunities
  5. Mshua's

    Mji-mjini ya mawe ni wa daima

    Sijaelewa kabisa! Ngoja nitarudia kusoma tena baadae
  6. Mshua's

    Kutekwa kwa Paul Manzi, raia wa Rwanda nchi Tanzania kunaichafua nchi kidiplomasia

    Aisee! Ukijiuliza sana maswali unaona hata jamaa aliyetekwa inawezekana alikuja nchini kwa mission maalum. Wamemchukua sababu amemaliza mission yake. Inaonekana hawa warwanda wamejaa sana nchini. Bosi wao anatujua nje ndani kiasi kwamba akitaka kufanya kitu chochote kile hapa nchini anafanya...
  7. Mshua's

    Mambo ya Ukanda yaliasisiwa Kaskazini na yameenda kuota mizizi Ziwa Victoria. Walaumiwe sana CHADEMA!

    Kanda ya ziwa ina mikoa ifuatayo:- 1. Mwanza 2. Mara 3. Kagera 4. Geita 5. Simiyu 6. Shinyanga. Kwenye hesabu zako jumlisha na idadi ya watu wa mikoa ya Mara na Kagera ambayo hujaiweka hapo halafu linganisha idadi yake na mikoa uliyoitaja ya Dar, Mbeya, Morogoro, na Arusha. Kumbuka vyama vya...
  8. Mshua's

    UDOM kuanzisha kampasi Njombe. Kimaadili hii siyo sawa kabisa ktk nchi hii

    Wanafunzi wengi waliopo UDOM wanatokea Kanda ya Ziwa. Kwa miaka miwili niliyokaa pale, nilikuwa nawahoji wanafunzi wakati nikienda kula. Wengi wao wanatoka mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Simiyu, na Shinyanga. Kundi lingine kubwa linalofuata wanatoka mikoa inayozunguka Dodoma ya Iringa...
  9. Mshua's

    Tusipoangalia kanda ya ziwa itatuletea tyranny of the majority

    Yeah, ni kanda kubwa na ina watu wengi ambao ni turufu kwenye medani za siasa, biashara na uchumi. Lakini viongozi wake hawaleti maendeleo na wana ubinafsi. Kifupi viongozi hawana ushawishi serikalini kwenye kuleta maendeleo, ni Magu tu ndiyo akithubutu naye kwa sababu alikuwa kiongozi wa juu...
  10. Mshua's

    Suala la umeme naaamini Tanzania tunahujumiwa

    Maji yapo ya kutosha kuzalisha umeme usio katika hata siku moja. Nimetembelea mto Mnyera na Mto Ruhuji ambayo yote miwili inaingiza maji yake mto Kilombero, ina maji mengi mno na ukizingatia ni wakati wa kiangazi. Hapa nilitaka kusapoti hoja yako kuwa tunahujumiwa. Hao wanaosingizia kuna ukame...
  11. Mshua's

    Kwa bajeti ya 10M - 12M naweza kupata gari gani used kutoka Japan?

    I Inakimbia balaa, ndani ya mita 50 inakuwa imefika speed 100 kama umekanyaga mafuta mengi. Kwenye mlima inapita kama tambarare tu. Hawa jamaa wa vx sijui v8, sijui nini, naenda nao bila shida. Inanguvu balaa
  12. Mshua's

    Kwa bajeti ya 10M - 12M naweza kupata gari gani used kutoka Japan?

    Nani alikwambia naishi kibondo? Ishu ya gari nimeshamaliza. Ni moja ya malengo niliyojiwekea mwaka huu. Limetimia!
  13. Mshua's

    Kwa bajeti ya 10M - 12M naweza kupata gari gani used kutoka Japan?

    Cheki picha, nilinunua Subaru Forester L.L Bean Edition, 1994 cc. Ina wiki tatu tangu ifike bongo na kuanza kuitumia
  14. Mshua's

    Kwa bajeti ya 10M - 12M naweza kupata gari gani used kutoka Japan?

    Cheki picha, nilinunua Subaru Forester L.L Bean Edition, 1994 cc. Ina wiki tatu tangu ifike bongo na kuanza kuitumia
  15. Mshua's

    Kwa bajeti ya 10M - 12M naweza kupata gari gani used kutoka Japan?

    Cheki picha, nilinunua Subaru Forester L.L Bean Edition, 1994 cc. Ina wiki tatu tangu ifike bongo na kuanza kuitumia
  16. Mshua's

    Kwa bajeti ya 10M - 12M naweza kupata gari gani used kutoka Japan?

    Hapo ni baada ya kutoka bandarini sijaweka hata plate namba
  17. Mshua's

    Kwa bajeti ya 10M - 12M naweza kupata gari gani used kutoka Japan?

    Niliongezea hela kidogo nikaagiza kutoka Japani gari aina ya Subaru Forester SG5, L.L Bean Edition, 1994 cc. ya mwaka 2003. Haina mwezi tangu imefika
  18. Mshua's

    Kwa bajeti ya 10M - 12M naweza kupata gari gani used kutoka Japan?

    Kodi ni mara mbili yake, imezidi kidogo kwenye bajeti yangu
Back
Top Bottom