Search results

  1. Shyshii

    Ngoma inogile! Bharti Airtel imepinga taarifa ya kamati iliyoundwa kuchunguza umiliki wake

    Well said zitto junior sio wanataka tusifie,tusifie nini sasa wakati watu waliotufikisha hapa wapo halafu wanahangaika na wawekezaji. Pumbavu kabisaaaa in sizonje's voice!!
  2. Shyshii

    Ngoma inogile! Bharti Airtel imepinga taarifa ya kamati iliyoundwa kuchunguza umiliki wake

    Hata kama hakuna msafi,huyu anayetaka sifa afanye basi ili tumsifie. Hatutaki apambane na tatizo tunataka apambane na chanzo cha tatizo hili litafanya watu wawe waoga lakini sio hawa kila sehemu kuna tatizo wanajifanya kuhangaika na tatizo lakini waliopelekea kutokea kwa tatizo hawachuliwi hatua...
  3. Shyshii

    Ngoma inogile! Bharti Airtel imepinga taarifa ya kamati iliyoundwa kuchunguza umiliki wake

    Kweli kabisaaa Babati,kwanini waliotufikisha hapa hawapelekwi mahakamani?waliotuingiza kwenye hasara ya madini wapo lakini hata majina hayakutwa au hata kufirishiwa na kupelekwa mahakamani hakuna Waliotufikisha katika hili pia wapo lakini wanazunguka zunguka hata kuwataja na kuwafikisha...
  4. Shyshii

    Tundu Antipas Lissu hujaanza leo kulichafua taifa hili

    Tuambie adui gani tunayepambana naye mpaka sasa? Ambaye huyu adui ni tofauti sana tena sana na tawala zote zilizopita ambaye sasa ukisema kuhusu serikali unaonekana unasaliti wenzio. ADUI unaye muongelea nina?
  5. Shyshii

    Tundu Antipas Lissu hujaanza leo kulichafua taifa hili

    Kwahiyo walinzi kwenye nyumba za waheshimwa sana aliwaaondoa Lisu? Na CCTV aliziondoa Lisu ili ajimalize mwenyewe? Au unaonaje ukisema hata zile risasi alijipiga mwenyewe ili atafute kiki?
  6. Shyshii

    Hivi Ulaya na Marekani nako Mvua ikinyesha Umeme huwa unakatwa?

    Tanzania ya treni ya UMEME Nawaza kwa sauti pale watu watakavyokuwa wananasa masaa kwenye treni baada ya umeme kukatika bila formula. Bora zangu nipo kolomije mie hizo purukushani za kunasa kwenye treni nitazisoma JF.
  7. Shyshii

    Bodi ya mishahara yafikia Hatua ya mwisho kurekebisha mishahara ya watumishi wa Umma kuondoa uwiano

    Ndugu huelewi unatakiwa kuishi km shetani? Ukilalamika sana wewe utakuwa ulikuwa una madili sili mengi sana sasa mianya imezibwa unalia lia. Sio mimi ni pale kwenye jumba jeupe
  8. Shyshii

    JF: The only place you can meet real beautiful women

    Amen kwa naiba ya wadada wa JF
  9. Shyshii

    Sebastiani Ndege ni Jembe

    Mbona rahisi kukulikana hasa ukipata kuwa famous Umesoma na watu shule ya Msingi Umesoma na watu O level Umesoma na A level Umesoma na watu sijui certificate au Diploma Umesoma na watu degree nk Huku kote inawezekana ukawa na marafiki ambao inawezekana wakawa wamewahi kufika mpaka kwenu na...
  10. Shyshii

    Wolper kaamua kuolewa ili kutukomesha wambea

    Daby acha umbea [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  11. Shyshii

    Jihadhari, haya ndiyo yanaitwa uchochezi kwa sasa

    Unawaambia wabunge wa CCM wafanye marekebisho wakati wao ndio waliipitisha kwa mbwembwe!!! Hatuna wabunge watetezi wa wananchi,tuna wabunge watetezi wa maslahi yao na serikali yao ya CCM.
  12. Shyshii

    Ni muda mrefu sasa najiuliza sana juu ya hili la wake za wachungaji

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiiiii jf forum mbavu zangu
  13. Shyshii

    Ni muda mrefu sasa najiuliza sana juu ya hili la wake za wachungaji

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiiiii viumbe wa jf I can't you
  14. Shyshii

    TV kutozwa faini: Kituo cha habari kikirusha habari inayopingana na Serikali kinaadhibiwa? Hii sio haki kabisa!

    Na sing'atuki ng'oooo,nina mpango wa kubadili Katiba iwe miaka 7 niwe madarakani mara mbili miaka 14 Kama nitakuwa na nguvu nabadilisha tena 14 mara mbili 28 mpaka mnyooke mlipinda pinda sana.
  15. Shyshii

    Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

    Dah!naililia Tanzania yangu naiona inapoelekea si salama ila km kuna watu wanajitahidi kwa kila hali kuipeleka kwenye shimo la moto. Mungu iokoe Tanzania,ikawe tena kisiwe cha Amani na furaha sio km sasa ni mashokoro mageni,lugha gongana yaani tumepotezana km waliokuwa wanajenga mara wa Babeli...
  16. Shyshii

    Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

    Huo uchochezi sasa kwanini unasema kwa wananji umeme ume katika mara 5? Ukapimwe haja zote za mwili na za roho!!ndio utaacha kuchochea moto kwa wananji.!
  17. Shyshii

    Kuna aliekutana na janga hili lililonikuta mwenzenu?

    Inawezekana ana kibamia kweli ndo mana kaona kabwawa na si bwawa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  18. Shyshii

    Kuna aliekutana na janga hili lililonikuta mwenzenu?

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Back
Top Bottom