Search results

  1. ham ha

    Msaada tecno L6 imetoa mstari mwekundu kwenye kioo

    Wakuu, simu yangu imetoa mstari mwembamba kwenye screen Kama inavoonekana...naomba msaada wa kurekebisha
  2. ham ha

    Msaada kuhusu tecno phantom z mini

    Habari wakuu, simu yangu inatatizo la inastack halafu screen inakua na mwanga wakijani, baada ya mda inakua black mpaka betri iishe ndo inawaka tena kawaida...tatizo itakua nn msaada tafadhali. Betri yake ipo ndani kuichomoa ni tatzo betri yake ni built in... kuizima ni mpaka betri iishe...
  3. ham ha

    Msaada wa tecno l6

    Wakuu naombeni msaada tecno l6 inakataa kupokea cm pale ninapobonyeza kitufe cha kupokea simu na kitufe cha kukata pia hivohivo nikipokea inaniambia; unfortunately phone has stopped.
  4. ham ha

    Samsung galax s2 inahitajika haraka

    nahitaji samsung galax s2 iwe nzma na isiwe na tatizo lolote nina 150,000(laki na nusu) nipo dsm
  5. ham ha

    Ushauri wakati unanunua flat screen Tv's

    Habari wataalam, Naomba kujuzwa kuhusu flat screen bora na nzuri kulingana na hivi vitu huwa vinanichanganya LCD na LED pia nimesikia kwa watu kuna smart 4 na 5 na pia brand gani ni nzuri kuliko zingine. Napenda kujuzwa ipi ni bora kwa kuangalia vitu hivo hapo. Asanteni
  6. ham ha

    NIT majina ya first Batch kwa bachelor degree haya hapa

    Mnatakiwa kuripoti trh 10/11 kwa ajili ya usajili. http://www.nit.ac.tz/index.php?option=com_phocadownload&view=category&download=35:selected-applicants-to-join-bachelor-degree-programmes-for-2014-2015-academic-year-first-batch&id=8:list-of-selected-students&Itemid=657...
  7. ham ha

    Jinsi gani ya Ku-root Blackberry curve ?

    Naomba kujuzwa namna ya kuroot blackberry curve 9300.
  8. ham ha

    Nauza blackberry curve

    Blackberry curve 9300 used inauzwa kwa sh 100000 haina tatizo lolote aneitaji naomba uni pm
  9. ham ha

    jkt yaongeza majina ya wanafunzi kidato cha sita awamu ya 3

    hii ikiwa ni pamoja na waliofeli mpaka div 0.tembelea Jeshi la Kujenga Taifa
  10. ham ha

    Kuhusu second batch loan board

    kuna yeyote anaefahamu kama loan board wanatoa majina second batch. masaada tafadhali
  11. ham ha

    ndo nimekosa mkopo au?

    Nimefanikiwa kufungua lakini nimeingiza namba nikaambiwa you did not secure loan for 2013/2014. sasa cjui ndo nimekosa na kama hvo inamaana na boom na accomodatioin nimekosa au. naomben msaada!!!!!
  12. ham ha

    Wale Wa NIT Join Instruction Zimetoka!

    Tembelea Website Yao Ya www.nit.ac.tz
  13. ham ha

    Selection za tcu zimetoka

    fungua website ya tcu fuata link, ingiza namba yako ya form four halaf jina la kwanza na la mwisho utaona selection yako. jina lisipotaka bac subiri baada ya mda kidogo ingiza tena utaona ulipochaguliwa.
  14. ham ha

    National Institute Of Transport{NIT}

    Jaman Wadau Hiki Chuo Mbona Hawatoi Selection Halafu Website Yao Sijue Ikoje Au Ndo mpaka Tcu? Mwenye Kujua Atujuze au Aliewasiliana Nao. Maana tumechoka Kusubiri.
  15. ham ha

    nisome koz gani nina E flat S gs na bamF HGE???

    naomben msaada wa koz ya degree kwa E flat hge bam nna F
Back
Top Bottom