Hata mie naelewa hivyo ila kinachoonekana hapa ni mfungua mashtaka anatumia nguvu ya pesa na vilevile ndugu yangu alikamatwa tangu alhamisi wamemweka ndani halafu jalada la mashtaka imefunguliwa jana jumamosi
Wadau kama kuna mtu anajua naomba anifahamishe nini natakiwa kufanya kama maaskari wanakataa kutoa dhamana katika kesi ya madai kwa sababu mfungua mashtaka anakataa mtu huyo asipewe dhamana na wao wanamsikiliza yeye
Nina ndugu yangu askari wa central wamemchukua tangu juzi wamemweka lupango tangu juzi tunahangaika hawataki kutatajia namba ya jalada ya kesi wala kututajia mpelelezi wa kesi na hawataki kumpatia dhamana wanafanya hivyo kwa sababu wako karibu sana na aliyefungua kesi ya madai kwa sababu...
Mfumo ni mzuri na unaeleweka ila kazi ni kutafuta watu 6 ambao watakuwa chini yako ambao nao wanatakiwa kuwa serious mpaka mwisho wa mchezo na watakaokuwa china ya hao sita na wanatakiwa kuwa serious na kuendelea mpaka mtu wa mwisho
Iphone 6s 64 gb rangi ya silver imetumika miezi miwili ipo kwenye box yake kasoro headphone imepotea inatakiwa 1.5m mwenye kuhitaji anipigie 0774439364
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.