Search results

  1. Penguini

    Kuoa mke wa pili sio kutatua tatizo katika ndoa

    Ukikutwa na matatizo ya ndoa utadhani yapo kwako tu. Na wengine hukimbilia kuoa na kumpiga chini wa kwanza, Hivyo siyo kutatua tatizo, ni kuliongeza, kwani kila utakaemuoa anaitwa kiumbe dhaifu!
  2. Penguini

    Tazama Vodacom wanachotufanyia!

    Ukifungua menyu ya kununua bando: Ukibonyeza 1: Yaani ukibonyeza moja kufuatilia kifurushi kilichoelezwa pale juu unakutana na maelezo mengine, huu ni utaratibu wa dunia ya ngapi mbona sielewi?
  3. Penguini

    Mkurugenzi NIDA siyo jipu?

    Serikari inatumia gharama kubwa ikiwa ni fedha na rasilimali za watanzania kutengeneza vitambulisho vya taifa, licha ya utengenezaji wa vitambulisho hivyo kujikongoja na kubakia kama habari inayowahusu watu fulani, ama mikoa fulani tu, sasa vitambulisho hivyo vinasadikiwa kuwa na kasoro, na...
  4. Penguini

    Ni hakika sayansi inapingana na MUNGU!

    Bonde la Oltupai (maarufu kwaKiingereza kama Olduvai Gorge) ni eneo la kiakiolojia linalopatikana katika mkoawa Arusha nchini Tanzania ambalo ni kati ya yale muhimu zaidi duniani. Bonde hilo lipo katika hifadhi ya Ngorongoro na karibu na ile yaSerengeti, ni mahali ambapozamadamu, viumbe wa kale...
  5. Penguini

    Reli ya kiwango cha kimataifa.p

    Nimesoma kwenye mitandao kwamba serikali imetangaza zabuni ya ujenzi wa reli kwa kiwango cha kimataifa je zitapita treni za kawaida au za umeme?
  6. Penguini

    Mungu anasaidia wanadamu, au anatenda haki?

    Habari wadau, hoja hii inaleta utata kidogo, Mungu ndiye aliyewaumba wanadamu, kwa kuwa baba aliyewazaa watoto alivyo na wajibu wa kuwatunza, kwa kuwa Mungu hawajibiki, mimi najua yeye anawatendea haki watoto/viumbe wake, Sasa huu msemo eti "Mungu Amenisaidia" Mungu amekusaidia, hivi kazi ya...
  7. Penguini

    Tafsiri ya kutumia majina bandia JF ni nini?

    Kwanini Jamii forum ni kinara wa majina bandia na usiri wa utambulisho wa watumiaji? Ukifuatilia sana humu ndani utachoka mwenyewe hata kama ni jirani yako, akiingia jf hautamfahamu ki rahisi, je huu utaratibu mwasisi wake ni nani? Na kwanini? Je, sote wenye majina halisi tuyaondowe tuweke...
  8. Penguini

    Umewahi kuchangia damu salama?

    Uchangiaji wa damu kwa ajili ya kuwasaidia wagojwa ni huduma endekevu je umewahi kuchangia? Na kama hujawahi kuchangia ni kwa nini? Je serikali ingetangaza kwamba ukichangia damu unalipwa pesa, walau 100,000/ unadhani damu ingekuwa adimu?
  9. Penguini

    Kwanini bidhaa za ndani zina bei ghali?

    Kwema wadau? Licha ya sarakasi zinazoendelea katika siasa za Tz kwa sasa tuna ahadi ya kuwa nchi ya viwanda, lakini kila nikitafiti nagundua uwepo wa bei kubwa katika bidhaa za ndani, na nikilinganisha ubora zaidi nakuta bidhaa za nje ni bora kuliko zetu. Mifano: Simenti ya pakistan imekuwa...
  10. Penguini

    Prof. Lipumba anafaa kuwa Rais?

    Prf Ibrahim Haruna Lipumba, amekuwa mwanasiasa aliyevuma miaka ya nyuma kdg, licha ya kuwa alikuwa mwenyekiti wa CUF amewahi kugombea nafasi ya kuwa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na hilo wote tunajua, Mwaka Jana (2015) katika harakati za kuelekea uchaguzi Lipumba alikuwa mwenyekiti...
  11. Penguini

    Ushabiki wa kisiasa ukizidi ni hasara

    Kila mtu ana kazi yake, na anajua wajibu wake, kila mtu anajua maisha yake, lakini majadiliano yanaleta mabadiliko katika mzunguko wa maisha. Yakiwa yenye tija yataleta mabadiliko chanya, na yakiwa vinginevyo yanaweza kuleta hasara. Siasa ni maisha, hatuwezi kuwa mbali nayo kwa namna yoyote, ila...
  12. Penguini

    Mvua iliyonyesha Togo ni muujiza, au kisayansi imekaaje?

    Nchini Togo inasadikiwa kunyesha mvua ya ajabu, kwamba mvua hiyo ilinyesha kama vile maji yanatoka kwenye bomba na kuwafanya waliokuwa jirani na na huo "msuruba" kuja kushuhudia. Je ki sayansi hii imekaaje?
  13. Penguini

    "Girlfriend" na "Boyfriend", je Watanzania tunayatumia vizuri maneno haya?

    Rafiki ni rafiki tu, awe wa kike au wa kiume ni rafiki; "we are friends" basi! Ila kwa kuseparete jinsia zao kunajenga kitu kingine yaani urafiki wa kijinsia. Haya ni maneno ya kizungu yaliyotokana na tabia zao ingawa siamini kama wanayatumia maneno hayo kama sisi na ndipo napata swali. Je...
Back
Top Bottom