Kweli kabisa ujazaji fomu kwa ajili ya vitambulisho una mambo.
Nilipowasiliana na Afisa Mtendaji wangu wa Mtaa ili anipatie maelezo taarifa gani zinahitajika katika kaya yangu ili nimtayarishie ahead of time ili atakapotembelea aje tu ku-verify wanakaya wangu, alikataa kata kata na kunidhihaki...
Sasa Waislamu mutaona hatari ya watu kama hawa wa Baraza la Maadili kuteuliwa kuwaakilisha katika Constituent Assembly tokea "faith-based organizations" ya kujadili katiba mpya. Mashehe hawa hawakuona kejeli za Waziri. Pia, hawakutilia maanani kwamba kilichopanda sio tu nauli ya abiria bali pia...
Tafiti za Rakesh zimesaidia kutufunua macho sana. Tatizo nchi hii hatupendi kufanya research-based decision making. Tunapendelea sana kuendeleza customs na dogmas.
Ukichukua mfano wa viboko mashuleni ni muhimu sana kufanya utafiti kutusaidia kufanya maamuzi. Tukumbuke suala hilo lilikuwa ndiyo...
Jamani si huyu EL ambaye aliachiwa laana na Baba wa Taifa kwamba ni mchafu hafai uongozi? Leo tena eti anajidai na kulaumu kwamba maamuzi mazito hayafanyiki. Haya yangefanyika asingeishia kujiuzulu. Ilipashwa afikishwe mahakamni kujibu mashitaka ya abuse of office kama ilivyofanyika Uganda kwa...
Taarifa kama za gazeti hili zinasaidia kuwapotosha baadhi ya watu kuhusu matibabu ya "dawa" itokanayo na mmea uitwao "Mugarika". Maelezo ya kutibu yako based on ushuhuda wa watu ambao siyo watalaamu wa tiba au watafiti. Nchi kama hii ambayo tafiti ziinabainisha wengi ni wanaamini ushirikina...
Nchi hii ni ajabu kweli kweli. Inawezekanaje tunaweza kuvumlilia uozo kama huu? Ukienda hospitali ya umma si ajabu ukaambiwa dawa hii au ile hakuna. Kisa bajeti ya kununua dawa ndogo. Na unaweza hata kufa kwa kukosa dawa. Lakini wafujaji wa fedha za walipa kodi wanapeta hata baada kupanga mpango...
Hmmm inaelekea wachangiaji wengi wanampa Ben alama nyingi zaidi kuliko JK. Lakini kama mchangiaji mmoja alivyosema wote mabomu. Ben alifanikiwa tu kuwa dikteta zaidi. Baada ya uchaguzi alisimamia watu wengi zaidi kuuwawa kule Pemba. Alibadilisha katiba kurudisha vipengele vya hovyo kama vile...
Personal attacks kwa mtoa hoja haziongezi hadhi la jukwaa hili.
Lakini maoni kwamba "why new constitution now" yanasikitisha. In fact new constitution imecheleweshwa. Mapendekezo ya Ripoti ya Jaji Nyalali yalishauri vyama vingi vianze na katiba mpya na kufuta au kurekebisha sheria kandamizi...
It is very obvious that CCM should be voted out of power. The party's desperate attempts to cling to power are easy to see. Yet I do notice a sizable number of people who will still vote for CCM. Thus it is the duty of every one who has seen the light to persuade those who are still victims of...
Wazo zuri sana lakini ni lazima wahusika waandae mkakati wa utekelezaji. Baadhi ya mbinu za utekelezaji ni kwa kushirikiana na BAKITA. Kwanza makamusi ya Kiswahili Sanifu yazambazwe maofisini. Pia, BAKITA ianzishe tovuti yake na iweke kamusi rasmi ya Kiswahili yenye istalahi zote za kitaalamu...
Ushauri huu ni mzuri. TCRA inafaa uangalie kwa undani. Nimeshaona kila provider ameweka utaratibu tofauti kidogo. Wengine hawa demand kila mtu asajili kwa kujipeleka physically katika ofisi ya provider. Wengine wanataka such details like IMEI, serial number ya sim card na wengine hawahitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.