Search results

  1. KIDOLEGUMBA

    Wazo la Leo: Haya Ndiyo Mabadiliko Tunayoyataka - Tuyataje, Tuyatambue na Tuyakubali

    Ajira na mfumuko wa bei ni tatizo kubwa kwa watanzania, tulitegemea ubinafsishaji ungetatua tatizo la ajira kumbe ni majanga. Ikaja mbiu ya kilimo kwanza, ilo trekta dogo linauzwa Tsh. 15m, mbolea bei juu , ukiongeza ma ukame sasa kuchimba kisima ili ufanye kilimo cha umwagiliaji gharama yake...
  2. KIDOLEGUMBA

    Tuwe wakweli: Tusimnange Wema Sepetu; wengine wanagombea, kwanini asigombee?

    Mi wasiwasi wangu wasije wakampoteza akiweza kuingia mjengoni maana, dada yetu huyu ni wale wa kumwaga ukweli hadharani kama dada Amina (Rip).
  3. KIDOLEGUMBA

    Unajisikiaje unavyotongoza halafu ukakataliwa?

    Ungeendelea kuonyesha upendo kwake, umeumia kwa sababu kwa aibu yake hukutegemea kumkosa, kama unania njema nae usikate tamaa.
  4. KIDOLEGUMBA

    Huu ukaribu japo ni urafiki nina mashaka nao sana

    Naona unaonyesha Uzalendo mpaka kwenye Mapenzi.
  5. KIDOLEGUMBA

    Feedback - Pale unapokuta mkeo katuma picha zake za uchi kwa mwanaume mwingine

    Ndoa zetu za ujana ni sheedah, haswa zama hizi za whassap, facebook na mitandao hii mingi ya kijamii inayoongezeka kila kukicha,pole sana mkuu kwa maamuzi mazito uliyochukua.
  6. KIDOLEGUMBA

    Puturu dawa inayochelewesha kufika kileleni kwa mwanamme

    Cha muhimu wote kufika, mda mrefu kwa kweli si mzuri kwa wadada maana inafika kipindi oil inakauka kwenye injini,kinachofata uharibifu wa injini, kuitumia tena lazima matengenezo yafanyike kwa siku kadhaa. Ingekuwa inaongeza spidi na wingi wa mbegu ingekuwa poa sana.
  7. KIDOLEGUMBA

    Masikini kaka huyu

    Nishawahi shuhudia Ndoa ya namna hiyo, tena wao walipata mtoto ambaye alifariki akiwa na miaka miwili kwa magonjwa nyemelezi na miaka mitatu iliyofuata mke akafariki, mume haku athirika ila kipindi mtoto anaumwa walienda kupima iligundulika mama na mtoto wameathirika wakati baba hana virusi, Cha...
  8. KIDOLEGUMBA

    Mwita Magesa hakuwa Mwanachadema halisi, ACT-Wazalendo tafuteni hoja, acheni propaganda za kitoto

    Inawezekana hana kadi ya Chadema ila alikuwa anakishabikia na kukipenda chama cha chadema kama ilivyo kwa wapenzi wa Arsenal,Chelsea au Man U ni wapenz dam dam lakini hawana kadi za uanachama wa timu hizo!
  9. KIDOLEGUMBA

    Magesa Mwita aachana na siasa za kihafidhina za CHADEMA, aelekea ACT-Wazalendo

    Huyu jamaa ni Civil engineer, 2004-2008 Udsm, mwaka 2006-2007 alichaguliwa kuwa rais wa wanafunzi udsm, jamaa ukimwachia nafasi ya kuongea ana kipaji cha ushawishi mkubwa sana.
  10. KIDOLEGUMBA

    Jinsi ya kufanya miujiza (Education is power)

    Kama Yesu na/au Mohamad wa/asingekuja duniani Imani ya uwepo wa Mungu Mmoja ingekuwa ndogo mno, hawa wote wamekuja na kuudhihirishia ulimwengu kwamba Mungu yupo na ametupa uhuru wa kuchagua kuishi kwa matendo mema ama mabaya na kutuelezea matokeo ya kuishi kwa hayo matendo.
  11. KIDOLEGUMBA

    Mke wangu hajawai kuniomba tendo la ndoa, yapata miaka sita tangu tufunge ndoa

    Ondoa hofu mkuu, natumai hujawahi kuona tembe anamfukuza jogoo ili apate kushiriki tendo, kwa hiyo mwanaume ni sawa na jogoo. Hla kama mkiwa mnashiriki tendo haonyeshi ushirikiano ama mara nyingi ukiomba mechi unakataliwa ndo hapo pa kuingia mashaka.
  12. KIDOLEGUMBA

    Picha za vurugu South Africa: Wazungu wamlilia Mwalimu Julius Nyerere

    Siku zote kwenye nchi isiyo ya kwako huwezi kuishi kwa amani siku zote, labda uwe mtaalamu wa lugha mbalimbali bila kubabaisha .
  13. KIDOLEGUMBA

    Gwajima apandishwa Mahakamani Kisutu; aachiwa kwa dhamana na kesi kupigwa kalenda!

    Yule wakili wa Gwajima angekaaga kimya, swala la majigambo ya mitandaoni dhidi ya serikali ndo haya yanayompata leo.
  14. KIDOLEGUMBA

    Gwajima apandishwa Mahakamani Kisutu; aachiwa kwa dhamana na kesi kupigwa kalenda!

    Si bure, nna wasiwasi polisi wanaushahidi flani wanaojiamini nao juu ya mtuhumiwa Askofu Gwajima.
  15. KIDOLEGUMBA

    Wanake wazuri ni wa kutustarehesha na sio wa kuoa

    Mkuu uzuri ni sawa na maji ya moto;yakichemka na kuepuliwa baada ya mda hupoa, kwa iyo ukioa mzuri akifika 40 ujana unafifia utu uzima unagonga hodi.
  16. KIDOLEGUMBA

    Ajali ya Treni na Lori kati ya Machinga Complex na Mataa ya Chang'ombe

    Mshika kibendera wa treni alilala nini? maana hupaswa kuwa na ratiba za upitaji wa treni ili awahi kufunga geti linalozuia magari kupita pindi treni inapokatisha.
  17. KIDOLEGUMBA

    Foleni Mbagala, sio wote wanaenda Kariakoo

    Kwa kweli foleni ya huku imekuwa kero, maana toka mbagala rangi 3 mpaka mtoni mtongani inatumika saa nzima! Kwa kweli manispaa ya temeke ifanye juhudi hata kuboresha njia ya mbagala kilungule kupitia tandika ama buza iboreshwe ili kupunguza foleni za asubuhi.
  18. KIDOLEGUMBA

    AJALI: Basi la Arusha Express lagongana na lori; hakuna madhara makubwa

    Kuna umuhimu wa kujenga "4 lane roads" kuelekea mikoani, maana inaonyesha madereva wengi wana uchu wa ku overtake ili kuwa mbele ya mda!!
  19. KIDOLEGUMBA

    Kilichomkuta Zitto: Kuna mkono wa Mtu! Yajue makundi 10 ya wanaompinga Zitto...

    Siku zote sisi wanadamu tunatabia ya kumpa sifa mpaka zilizopitiliza kiongozi tunaemkubali haswa kutokana na maovu ya serikali anayoibua ama uwezo alio nao kwenye hoja mbali mbali zenye msingi wa kumsaidia mwananchi. Lakini pindi huyu mtu anapokosea tena kwa kosa ambalo kwa kutumia busara...
  20. KIDOLEGUMBA

    Waziri Amos Makalla anaishi katika nyumba isiyokuwa na milango wala madirisha

    Mshauri auze VX anunue passo na amalizie mjengo wake.
Back
Top Bottom