Search results

  1. SPYMATE

    FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 08.03.2024

    Hao Namungo si ndio waliwachachafya hadi mkapigiana penalty then Kagere akawafanyia favor makolo
  2. SPYMATE

    Kama Mzee wetu Hayati Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi alizaliwa Kivule, Alifikaje Zanzibar?

    Ndivyo inavyotakiwa kwa Kila muislamu. Mtume Muhammad (SAW) Kzaliwa Makkah na kuzikwa Madinah
  3. SPYMATE

    Tanzanian traditional local foods

    Wali ndondo au wali kisamvu
  4. SPYMATE

    Tanzanian traditional local foods

    WaLi ndondo au Kisamvu
  5. SPYMATE

    DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Kuna. Basi Kimara Kariakoo limewapeleka abiria Muhimbili badala ya Gerezqni
  6. SPYMATE

    Wafadhili wamejenga Msikiti kwenye Eneo la shule ya sekondari inayomilikwa na serikali. Mkurugenzi wa Halmashauri ameuvunja

    Hata Benjamin mkapa pale Kuna chumba Cha kufanyia ibada so sijaona Cha Ajabu kuwepo msikiti karibu na shule
  7. SPYMATE

    Mabraza wa Kariakoo na dili zao

    Shida huo mkwanja eti 7m kwa PC used
  8. SPYMATE

    Tuliyaishi haya zamani yetu, sasa yamebaki kumbukumbu ya kuvutia kama si kuchekesha

    Mbona za juzi hizo au ndio ugonjwa wako hao pure local chicks? picha nyingine hapo chini ila si ya zama zlee
  9. SPYMATE

    Tuliyaishi haya zamani yetu, sasa yamebaki kumbukumbu ya kuvutia kama si kuchekesha

    Kweli mziki ulikuwa ni huo afu uende masafa marefu ni balaa
  10. SPYMATE

    Je, ni wakati sahihi wachezaji wa Ulaya kutuachia AFCON yetu?

    Ile ilikuwa na watu wa kazi kina Rigobert Song,Songoo,toure etc
  11. SPYMATE

    Je, ni wakati sahihi wachezaji wa Ulaya kutuachia AFCON yetu?

    Kina Jay jay okocha ,Rashid Yekin,Mimboe,J Song'oo, Rigobet song ,Taribo west nk unawaweka wapi wale?
  12. SPYMATE

    Mashabiki wa Taifa stars mnakumbuka nini mkitazama hii picha?

    Hakuna mafanikio ya maana ila lile Vibe alifanya watu tuipende timu ya taifa. Binafsi nilikuwa sikosi kuchungulia pale Karume
  13. SPYMATE

    Mvua nyingi, kwanini bwawa la Stiglers halijai

    Si wamesema wanawasha Turbine 1 February na nyingine march so mgao bye
  14. SPYMATE

    Fundi Flat TV na vitu vyote vya umeme

    Hata mimi sielewi kwanini wanafanya for single use? mwanao akirusha kijiko akapasua kioo unaitupia stoo bila ya kupenda
  15. SPYMATE

    Mashabiki wa Taifa stars mnakumbuka nini mkitazama hii picha?

    Amsha amsha ilikuwepo full mzuka
  16. SPYMATE

    Fundi Flat TV na vitu vyote vya umeme

    Ngoja aje
Back
Top Bottom