Search results

  1. Django

    Makamanda wa Polisi (Iringa & Dar) watofautiana sakata la Abdul Nondo

    Hii issue ya huyu dogo inaniuma sanaa na kwa kiasi kikubwa inadhihirisha jinsi vyombo vyetu vya usalama vinakosa uhuru wa kufanya mambo yake vyenyewe ni dhahiri shairi kama wanapoke amri kutoka mamlaka zilizo juu yao, kama wanaharakati wa kutete haki hawataingilia kati dogo anaweza akazushiwa...
  2. Django

    Ni Tanzania pekee duniani ambayo wananchi wanaweza kuporwa haki zao wazi wazi na wakanyamaza

    Ila ki ukweli sizani kama watanzania wanafurahia jinsi hali ilivyo hivi sasa nchini hasa huu mvutano wa vyombo ya dola na vyama vya siasa, ila haki ikiminywa sana na wananchi wakipoteza matumaini na viongozi waliopo serikalini hapo ndio amani huvunjika
  3. Django

    Acha tu wajitambue wenyewe maana....!!!

    kweli wanajitambua
  4. Django

    Hivi haka ni kavulana au kasichana?

    kapo kote kote si unaona kana bamia na juu kana vifuu
  5. Django

    Good photo i like it

  6. Django

    Good photo i like it

  7. Django

    Chidi Benzi huyo

    unga + gongo = kama hivyo unavyo muona chid benz kimebaki kipini tu puani
  8. Django

    Picha inayotatanisha

    huu utata jamani
  9. Django

    Ni nani Huyu?

    habibu mchange
  10. Django

    Kisura

    hapo nimekubali
  11. Django

    Kwa uzalendo alionao, Mwigulu apatiwe ulinzi wa kutosha

    Mkuu mimi sijaona kitu cha ajabu sana alichofanya mwigulu mpaka umuite mzalendo ambaye atachukiwa na wana ccm pamoja na wapinzani, ila nachokiona ni kutaka kumpa sifa kupita uwezo wake wa kupokea sifa mfono kama issue ya jana wengi wamefanya mambo kama hayo ntakukumbusha kidogo Mhe. mwakyembe...
  12. Django

    Mabongo fleva woooote....

    Hii imekaa vizuri na fundisho zuri sana kwa wabana pua wa hapa bongo
  13. Django

    Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

    kibanda maiti zanzaibar mchamba wima zanzibar
  14. Django

    Kafanana nanani Huyu?

    Amefanana na mbunge wa nzega
  15. Django

    CHADEMA yafukuza wanachama wake akiwemo Diwani, Vick Kamata ahusishwa

    Chadema tupo vizuri, tupi imara na tunazidi kukomaa kisaiasa na tunajiimarisha vizuri
  16. Django

    Leticia Nyerere tumekuona hata ukiongea na Simu...

    Tamaa na njaa ndio zilimfanya akiuke agizo la chama chake hana uzalendo bali ana tamaa njaa
  17. Django

    Kama hujui ugumu wa kutetea uongo muulize Lukuvi!

    Mkuu umewasahau hawa, MWIGURU NCHEMBA, na MAMA ANNA MAKINDA hii ndio kamati ya FITINA na UONGO
  18. Django

    Hii ndo miradi ya maendeleo mwenge wa CCM unayozindua!

    Wizi mtupu matumizi mabaya ya pesa za ummma
Back
Top Bottom