Search results

  1. P

    Nimemfumania mke wa rafiki yangu na ameniingizia zaidi ya 1,200,000/= kwa njia ya M-PESA

    Wweeeee tafadhal usiniudhi,,,,hvi huyo mwanamke huko gest Alikuwa mwenyewe????au alienda na mwanamke mwezie?????kwan huyo mwanaume kama ni mume wa mtu?????achen kuwaona wanawake wachafu sana na nyie mwanaume wasafi,,, tena wakat mwingine nyie ndio mnamambo machafu kuliko wanawake.
  2. P

    Wadada bhana!

    Very sor kama sio ww ila feelings zilinifanya niandike hivi, nawachukia sana watu wanaopenda kuwalaumu wasichana kila siku, kwanza naanza na ww, ww uliniona mtaa gan me natafuta mwenye pesa??????hiv unafikir pesa zako mm zinanisaidia nn?????tatizo lenu mna pesa za mawazo ndio maana zinawafanya...
  3. P

    Nimeamini, wasichana wa sasa...masikio na macho viko kwenye ndoa

    Kwanza kabisa naomba ufute kaul yako, hakuna binadamu mwenye kichwa cha panzi, then ntarud.
  4. P

    Wadada bhana!

    Mtalalamika sana na na bado pesa zitawatoka mpaka mshangae, mbona mnaishia kulalamika mchana na usiku lakini kuhonga hamuachi???,ww usiokuwa na hela kaaa pemben acha wenye nazo waendelee kuzitoa,.
  5. P

    Hivi ni halali kumfanyia mumeo haya mbele ya wageni?

    Yaaa hata mm simaanishi kumfurahisha mtu ila sion kama kulikuwa na ulazima sana wa dada kumvua mumewe soksi katika muktadha ule na hyo haitamaanisha kwa siku hyo moja yu upendo utapungua.
  6. P

    Hivi ni halali kumfanyia mumeo haya mbele ya wageni?

    Jaman lets urgue with reasons, kusema ukwel mtoa mada hajakosea kabisa, mm ni msichana na ninajua wajibu wangu hvo kama mume wangu nampenda itabaki hvo na sio lazima nikuonyeshe ww wa pemben kuwa how I love my man.pia kumvua mume soksi ni jambo lakawaida kabisa ila nafikir staha inahitajika...
  7. P

    Mabinti wa siku hizi wachafu tu

    Me sijaona kama amekosea jaman Alikuwa anatoa tu ushaur, pia bro ww kama mpnz wako ni msafi hii haimhusu kabisa ila yeye alilenga wale wachafu ambao kubal ukatae wapo katika jamiii.pia katika uandishi anasema alimuacha mpnz wake kwa sababu hakutaka kubadilika, t means kwamba alishamrekebisha...
  8. P

    Kwa nini ndoa za siku hizi zinavunjika haraka tofauti na ndoa za zamani?

    hiyo familia inaonekana iko after money na wamemgeuza huyo mtoto wao kuwa kitega uchumi, kaz kwelkwel.
  9. P

    kichwa kinaniuma nifanyeje mwenzenu

    Mm nafikir ushahur wa himidin ni mzur sana na ukiufwata unaweza kukusaidia, ukimwafa direct ww ataona coz mmegombana unataka pia kumgombanisha na mpnzwe, hivo tafuta hata rafiki yake mwingine ambaye atamfikishia ujumbe ila usikae kimya.
  10. P

    Kwa nini ndoa za siku hizi zinavunjika haraka tofauti na ndoa za zamani?

    So sad ma dia sometimes kwels girls tunakera sasa huyo majuto yake yapo mlangon yanamsubir.hivi huyo bos hana mke????wakat wengine wanataman ndoa wengine znawapotezea muda, kwel namuonea huruma coz hajui alitendalo,
  11. P

    Kwa nini ndoa za siku hizi zinavunjika haraka tofauti na ndoa za zamani?

    Daaaa kwel kabisa na mm siolewi mpaka nimpate mwanaume wa hvo@.
  12. P

    Ya leo kali...

    Likitokea la kutokea hapo utasikia shetan kanipitia, jaman huyu shetan mengine hata yeye anayashangaa maana hayajui
  13. P

    Nini tafsiri ya ndoto hii ?

    Asante sana kwa ushaur wako ntaufanyia kazi .
  14. P

    Nini tafsiri ya ndoto hii ?

    Sasa picha ya nn kaka??kuwa serious kidogo, kama huna ushaur just kuwa msomaji.
  15. P

    Nini tafsiri ya ndoto hii ?

    Asante sana kwa ushaur wako ntaufanyia kazi .
  16. P

    Nini tafsiri ya ndoto hii ?

    Ni girl but never try such a thing best.
  17. P

    Nini tafsiri ya ndoto hii ?

    Habar zen wana jf naomba msaada juu ya hili swal ambalo niliulizwa na mtu nikashindwa kumpa clear answer.hiv nin maana ya ndoto ambayo unaota kama unakula kinyesi, pls mwenye uelewa katika hilo naomba anijuze.kama hujui kama mm naomba tuwe wasomaji tu.
  18. P

    Naomba ushauri tafadhali....

    Hata nyie akili zen zpo robo, mkishajua mnapendwa mnajiona kama malaika vile, hata nyie mnakera hamjui tu.
  19. P

    Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

    Sitasahau siku aliponipa dedication ya wimbo wa end of the road and by that time siku ufahamu huo wimbo wala maana yake but nilifwatilia nikaujua ukwel, Real wanawake sisi ni wabaya sana but always men are behind al the things.
Back
Top Bottom