Mimi niliweka pesa Jatu zaidi ya million 40. Sasa hivi nimeishaona ni wahuni tu na sidhani kama kweli wanalima. Wanaweza kuwa wanalima mashamba machache sana ila wanauzia watu mashamba mengi.
Magufuli alikuwa aishaanza kuwakagua. Alivyoanza tu wakakatisha kilimo cha maharage. Siku alipofumba...
Sijajua kwa nini wanajiita kampuni. Wapo kama wapiga deals. Wamejaza wanasheria wengi kuliko wataalam wa kilimo. Kibaya zaidi, wanadanganya kila mkulima anayelima nao. Yaani hata wewe ukienda leo watakwambia vitu ambavyo sio kweli. Managers na CEO wanajificha kabisa. Wanatembea na ma baunsa...
Watanzania tuna kasumba ya kutojua vitu na kujibu ujinga ujinga. Kama hujui kitu bora unyamaze. Kwa yeyote ambaye anaulizia kampuni ya Jatu, ni kwamb ina kila dalili ya utapeli. Wanaweza wakawa wanalima kweli lakini sio kiasi wanachokitangaza wao. Ukishawapa pesa, hutawaona tena. Inaweza...
Ebu tuangalie mtu aliyelima hekari moja mwaka jana na mwaka huu anapata nini (kama atakipata)
Gharama za kulima shs. 904,200
Kati ya hizi, wanakukopa 2/3 =shs. 602,800
Wewe unlike shs 301, 399
Mwaka huu wamesema wamevuna gunia 22 kwa ekari.
Kwa hiyo:
Wao wananunua gunia moja kwa shs. 56,000...
Wanakulazimisha kununua mazao kilo 100 hadi 200. Ukishamaliza kununua, wakivuna mazao huwezi kulipwa hata ufanyeje. Watakuzungusha mpaka utachoka.
Taratibu zao, wao pekee ndo wanajiuzia mazao kwa bei ya kutupwa. Wakishanunua kwako, wanakulazimisha kukuuzia kwa bei karibu mara mbili ya ile...
Kwa ufupi tu, mazao watakwambia wanalima ila ikifika mavuno sivyo kama wanavyokwambia. Wanadai lima na sisi bila stress na vitu kama hivyo. Yaani kwanza unalazimishwa kununua mazao yao. Lazima ununue kilo 50 kila mwezi (sasa jiulize kilo 50 utazinunua uzipeleke wapi).
Baada ya hayo yote...
Binafsi naomba niwaeleze watanzania na wengine wenye nia ya kujiunga na hii kampuni. Nimefanya nao kilimo kuanzia mwaka 2020/2021. Mavuno yalipaswa kuwa 2021. Nimeweka pesa nyingi kwao, nadhani kati ya wakulima 10 na mimi nimo.
Kwanza customer care yao sio nzuri. Yaani unasumbuka sana kufanya...
Binafsi naomba niwaeleze watanzania na wengine wenye nia ya kujiunga na hii kampuni. Nimefanya nao kilimo kuanzia mwaka 2020/2021. Mavuno yalipaswa kuwa 2021. Nimeweka pesa nyingi kwao, nadhani kati ya wakulima 10 na mimi nimo.
Kwanza customer care yao sio nzuri. Yaani unasumbuka sana kufanya...
Ulichosahau kueleza kwa kujua au kutojua ni kwamba, huyo mtu mliyetaka kumpa uongozi kwa kufanya mapinduzi, yeye mwenyewe hawapendi watanzania. Katumia kodi zao akitudanganya kwamba anafatilia mabillion Uswiz baadae anasema hawezi kutaja majina. Huwa haji kwenye mikutano ya watanzania.
Sasa...
Nilidhani matokeo ya division 5 yatajitokeza baadae kama miaka mitano ijayo kumbe tayari majanga yapo humu. Bwana Nyakarungu, nasikitika kuishi kwenye taifa moja na wewe na kibaya zaidi, sote tunaongea kiswahili, yaani tunaelewana. Bora tu ungejua lugha ambayo wengi hawaijui. Siamini una mawazo...
Natania....mimi ni binadamu ndio. Nakiri nakosea lakini tofaiuti yangu, wewe na Zitto nikwamba mimi na wewe tunakiri makosa yetu. Kibaya zaidi ni kwamba, makosa ya Zitto sio kama yetu hivyo makosa yake hatuwezi kuyalinganisha na ya binadamu wengine. Ndio wanaweza kuwepo ila ni wachache ndo maana...
Katika maelezo yake ya mahakamani Mr. Zitto alieleza kuwa maamuzi ya kikao cha leo yatamweka pabaya....hiyo maana yake ni nini? ni kuhisi kufukuzwa na kupoteza ubunge.
Au twende njia nyingine. Anadai ameshtakiwa vitu ambavyo hajafanya na kwa mujibu wa maelezo yake, kajibu zile shtuma na zote...
Sijawahi kusema matusi hapa JF ila naomba nikwambie kwenda zako!! huna haya kabisa. Ebu tueleze, kwa hiyo wale kina Stella Mwampamba, Shonza and co wakaona Zitto anafanya kazi nzuri chadema ya kufichua maovu ndo wakaandaa press conference yake? Tueleze please!!!
Tueleze pia kwa nini Zitto ana...
Asante ndugu kwa uelewa wako wa mambo. Ila nina swali au wasiwasi na kesi hii ya Zitto. Kwamba, kwangu mimi ilikuwa ni kesi rahisi sana kutoa uamuzi...sijaelewa jaji alikuwa na shida gani ukizingatia alipewa muda toka jana, afu leo kahitaji kama masaa mawili. Hapa hamna kesi, ni moja ya kesi...
Kweli kabisa. Naamini hawa watu wa Ngara ni maskini na wengi wao hawajawahi kumuona Mbowe wala Slaa ila wamechoka na dhambi za CCM. Huu ni ujumbe tosha kwa Zitto anayeshinda anaota kweupe kwamba Mbowe amekuwa mwenyekiti wa muda mrefu.
Hakuna aliyekataa kwamba hatakuwa kinara. Tunachokikataa ni usaliti.
Awe kinara kwa gharama yake mwenyewe sio jwa gharama ya kuharibu chama.
Hivi umewahi kuona kikombe kinakuwa cha moto kuliko chai? Ndo CCM wanavyokuwa wa moto kwenye swala hili kuliko Zitto mwenyewe. Tumewafumania live sasa...
Na kilichomfanya ajiuzuru ni nini? Utatwambia aliacha sheria ichukue mkono wake au alipisha upelelezi. Ila ntaongeza swali lingine, kwani upelelezi umeisha? si aendelee kupisha upelelezi? Mbona anakuja?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.