Hakuna tatizo mara nyingi sana katika maisha hutokea,, unafikiri unaweza kuota huko kukoje? Kuna Tajiri mmoja aliwahi nambia najuta kuwa tajiri, unaweza ukadhani anatamania kila jambo lina faida zake na hasara zake, Ukizingatia Raisi huyu alikuja na moyo tofauti na mfumo uliopo. Mfumo ulikuwa...
Wahaya kwa sifa na hili pia alikuwa anajisifia kuwa hawezi kupewa kamshahara ka mil 5 kwanza amaeolewa na super bilionea sasa JPM kasema ukatumikie ndoa yako yeye anataka wazalendo wanaochukua hata hako kadogo, na bora katumbuliwa tu TAASIS ya uwekezaji ndo imeuza nchi hii
Nimekuuliza walipo susia bunge la katiba je tulipata katiba bora? Waliposusia uchaguzi wa Marudio Zanzibar je uchaguzi ulisimama? Tunafaidikaje na kususia hebu nieleze faida zake boss na sio kuunga mkono kila kitu tuache maslahi ya kisiasa tuangalie tunafaidikaje na siasa hizo.
Kutoka nje suluhu au?? Ukawa mimi mnaiudhi hapo tu kususa susa mmesusa bunge la katiba wenzenu wakapitisha, mmesusa wakati wa uchaguzi wa Marudio Zanzibar wenzenu wameshinda na hadi leo kuna raisi leo mmesusa tena. Sijui tatizo nini jengeni hoja na mkomae tu hakuna kususa hadi speaker ampishe...
Kwa hiyo nani alitakiwa kufunga hizo fingerprint na wao Infosys walipewa tenda ipi na hiyo kampuni je waliifanya? Nashauri fika kwa Lugumi maana anatupa headache mitandaoni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.