Hii issue sio nyepesi kama mnavyodhani, wadada wenzangu mnanielewa. Kama ni mwanamke unayejielewa, huwezi kwenda kumtongoza mwanaume, utaolewa naye lakini utajutraa, atakula mpaka machangu.
Jambo la msingi tu ni kuondoa nyodo na kuingia kwenye mahusiano na mtu ambaye yuko tayari (able and...
Hizi mambo za hausegirls zamani hazikuwepo. Sasa wewe una watoto watatu, means umeanza kuzeeka, alafu unaleta housegirl kigoli. Usimlaumu mumeo kabisaaa. Yaani unamkataza mtoto kulamba sukari alafu unafanya chumbani kwake kuwa stoo ya sukari. Bila aibu asubuhi unalalamika mtoto analamba sukari...
Hivi wewe Bumija (mwanafunzi wa kata), juzi ulikuwa unaomba ushauri hapa mpenzi kakumbia, leo una mtoto na mpenzi wa kwenye basi. Shule za kata ni sheeedah
story ya uongo.
1. kwanza speed
2. pili wanyama uliotaja, hasa simba na chui. eti wana damu mdomoni. eti wawili mmoja huku na mwingine huku. hao hawakaagi karibu na barabara
3. mara umeandika uliondoka moro saa 8 ukafika 9.30, alafu tena unadai ulipita jioni.
Full fix. Chai hainunuliki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.