Search results

  1. cyma

    Tatizo la Hotspot

    Hope mko poa wadau, Naomba msaada kwa anaejua hili tatizo kwenye simu yangu ya Android,Infinix Hot S3. ni kwamba nikiwasha Hotspot ili niweze kushare internet kwenye computer yangu au hata device nyingne haikubali . kwenye computer inaandika inaonesha connected lakin No internet . kwenye cm...
  2. cyma

    The Barefoot boy and Gift of shoes

    Habari wakuu, naomba msaada wenu mwenye hichi kitabu kinaitwa "The Barefoot boy and Gift of shoes" by Kenny Sultan Mleke
  3. cyma

    camera Nikon D5200 for sale

    Habari. Camera Nikon D5200 inauzwa bei sawa na bure. ina charger, battery, cable zote, lenz 18-55mm na memory GB 4. bei ni 890000(laki nane na elf tisini tu). wasiliana kwa namba 0711448886.karibu
  4. cyma

    Tairi na rim

    Habari wakuu, Natafuta tairi na rim saizi 12 za suzuki carry . kwa anaeuza used(za zanzibar) au mpya tuwasiliane kwa haraka PM tufanye biashara. Asante.
  5. cyma

    Bike

    Habari , Nauza baiskeli mpya bei ya kutupa 190k tu. PM namba yako kwa mawasiliano kwa anaehitaji tu. Asante. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. cyma

    Dagaa wa Mwanza ni wazuri lakini kero kubwa ni mchanga

    Wakuu salama? leo nimeona kutoa dukuduku langu kuhusiana na dagaa hawa wa mwanza, rock city. ni dagaa wazuri kwa ladha lakini kero kubwa ni mchanga . imekuwa ni kero hasa ukikuta maandalizi ya hyo mboga kuwa ya hovyo , hasa kwa mama lishe hawaoshwi vizuri sijui. ushauri wangu ni kwamba huko...
  7. cyma

    Nahitaji Laptop battery

    wakuu salaam. nahitaji battery ya Laptop Dell Latitude E7440. mwenye kuuza tuwasiliane ASAP Sent using Jamii Forums mobile app
  8. cyma

    INAUZWA Sport Scooter For sale

    pikipiki ndogo for sale MCAYT 741, scooter - bagamoyo mjini .speed 140km/h SANLG ikasome , .tairi imara zenye kashata nene .125cc - haili mafuta kabisa 10000 wiki nzima na zaidi .ina buti kubwa kuwekea vitu vingi . Automatic , unavuta tu mafuta unapepea .bei 1.95M(milion moja na laki tisa...
  9. cyma

    INAUZWA Toyota Land cruiser LJ78 For Sale

    Mambo vp wadau, Nauza gari yangu picha na details zingine ni kama ifuatavyo make: toyota model: landcruiser mwaka: 1991 fuel: diesel transmission: manual njoo ukague gari tufanye biashara. Bei 8.5m maongezi kidogo yapo , kwa alieserious ni PM
Back
Top Bottom