Yaani ukitafakari vizuri hizi habari za wapo salama huku wakisema hawajafika ndege ilipo ndo unaona namna tulivyo wababaishaji.
Kwanin hawatwambii wamepataje hizo habari??
Nilichopenda ni kwamba uliweka hii post kabla ya bwana slaa kuongea star tv sasa kwa tuliomsikiliza hiki ndicho aliongea hivyo amethibitisha maneno yako
Wananchi tulishaamua
Nape ww wapi aliyekwambia jiji la dar es salaam halina vijiji nan? Chama kweli kimekosa watu.
Chakujifunza ni kuwa sio urban authorities zote hazina vijiji kuna baadhi kama dar zina vijiji. Ila rural authorities ndo hazina mitaa kwa hapa Tanzania
Nyakurungu zile risit feki za malipo ya bank uliyofanya mzumbe umemalizanaje? Na kwanini hujagraduate mwaka huu? Unafikiri kwa uliyofanya mzumbe unatosha hata kupost hili bandiko hapa?
Voice of mtwara jitahidi kuwa data unapotoa argiment zako kuliko kuwa too general.je umewahi kuona kazi ya ukatibu afya imetangazwa?
Unajua nan anajaza hizo nafac na je unaweza kututajia mtu sociaology or pspa ambaye ni katibu wa afya na kituo alipo ili tuamini
Mkuu wazanzibar hawawezi kukubali kujitenga tunawasaidia hadi mishahara yao kama Beno Ndulu alivyotanabaisha. Sisi tanganyika ndo tupige kura kama tunahitaji Muungano ama vp?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.