Search results

  1. M

    Kuna siri gani kuhusu hawa wanawake wanaojifukiza udi?

    Kweli huvutia jini mahaba. Unapiga unadhani unapiga binadamu kumbe sio.
  2. M

    Maisha ya wachaga wengi yamo kwenye utumbo wa mbuzi

    Labda kwa wale ambao ni wapagani. Tumeokolewa, na kutakaswa kwa Damu ya Yesu Kristo (Efeso 1.7).
  3. M

    Biashara ya miili Iringa noma

    Hata Moshi mjini wapo. Nimekaa Iringa, ukahaba si mkubwa vile. Dar na pengine Mwanza ndo tishio.
  4. M

    Dodoma litakuwa Jiji la Maajabu mengi Duniani

    Labda kama umeandika kinyume, kwa maana ya kwamba hayo uliyoandika hayatawezekana!!!
  5. M

    Dodoma litakuwa Jiji la Maajabu mengi Duniani

    Halafu hii ya Dodoma kupita Dar kimapato ni kwa uchumi gani wa Dodoma uliojaa umaskini hivi? Pathetic.
  6. M

    Dodoma litakuwa Jiji la Maajabu mengi Duniani

    Umeshawahi fika Dodoma, na baadhi ya Wilaya zake ndo ukaandika huu uzi? Kwamba Dodoma italimwa Mpunga, Tumbaku, Pamba?. Naomba Mungu anipe uzima nione haya yakitimia.
  7. M

    Siri iliyofichwa kuhusu BIBLIA

    Hakuna kitu kilichofichwa. Ukisoma nyaraka za Paulo, Petro na Yohana utaona kuwa tangu Kanisa la karne ya kwanza, kuliibuka imani potofu za manabii wa uongo, wakitumia maneno 'roho ya mpinga Kristo'. Hivyo wakati wa kuandika biblia moja, au kukusanya vitabu hasa vile vya Agano la Kale, umakini...
  8. M

    "Tutalazimika kukopa tena ili kugharamia chaguzi hizi,deni la taifa linakadiriwa kufikia trl 60 (us$ bil 26.12)"

    Nani alikuambia Tanzania hatuna hela? Sisi ni matajiri. Chama kwanza, mengine baadae.
  9. M

    Watoto wa Fatima: Mwanamke aliyewatokea ni nani na alisema nini?

    Kweli Kabisa. Ukatoliki ulianza baada ya karne ya 15, kuwa Universal church. Kabla ya hapo yalikuwepi Makanisa yaliyokua ya mahali pamoja. Ila Wakatoliki wamelewa sifa kuwa ndilo Kanisa aliloacha Yesu pale alipomwambia Petro ''wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga Kanisa langu''...
  10. M

    Watoto wa Fatima: Mwanamke aliyewatokea ni nani na alisema nini?

    Kwa wasimaji wa Biblia, Mtume Paulo ameandika katika moja ya nyaraka kwa Wakorintho kuwa Shetani hujigeuza kuwa malaika wa nuru. Na jinsi nalivyo mjanja, anajua kuwa Wakatoliki hawasomi neno la Mungu, hivyo ni rahisi kuwadanganya. Na biblia inasema wazi kuwa unabii wowote ambao upo kinyume na...
  11. M

    Nina double life

    Mwalimu C.Mwakasege ana mafundisho mengi kuhusu ndoto, na ameandika vitabu juu ya Ndoto. Tafuta kitabu chake usome, au ingia Youtube kufuatilia mafundisho yake.
  12. M

    Wanaume mnaboa na mitongozo yenu khaaa!

    Kama unatongozwa na aina ya wanaume wanaokutukana baada ya kuwakatalia na wewe ni tatizo pia. Aidha uko cheap au level ya chini.
  13. M

    Hii kauli ya Kamishna wa TRA kwa biashara zilizofungwa ni kufanya 'damage control'

    Hujawahi fika mtaa wa Kongo. Na maeneo yote hayo ambayo kwa ujumla tunaita Kariakoo. Hungeandika ulichoandika. Pita miji yote hata pa kupita hakuna. Acha mbali hoja za msingi hapo juu kwenye mambo ya kodi
  14. M

    Netanyahu kumfuata Rais Magufuli Ikulu na deals kubwa kubwa

    Damu gani? Yani waache kupigania ardhi yao wawachie Wafilisti? Never on earth. Jesuralem ni moja, mji mtakatifu wa Mungu. Na itaendelea kubaki hivyo. Tunasubiri kubomolewa kwa msikiti wa AL AQSA na kujenga tena HEKALU KAMA ILIVYOKUA AWALI.
  15. M

    Hii kauli ya Kamishna wa TRA kwa biashara zilizofungwa ni kufanya 'damage control'

    Hoja yako ni ya msingi. Ukienda Kariakoo (na hata kwenye miji mingine) Machinga wanauza bidhaa ambazo ziko madukani. Mbaya zaidi wanapanga mbele ya maduka. Machinga halipi kodi, lakini mwenye frame analipa kodi ya pango, service levy na TRA wanamkadiria kodi mara tu anapofungua duka. Kwa namna...
  16. M

    TBC Vipi Bunge Live Leo?

    TBC wana matangazo mengine badala ya kurusha Bunge live. Kuna shida gani?
  17. M

    Bashe ahojiwa BBC, apinga ujenzi wa Reli unaoipa kipaumbele Rwanda

    Ana hoja ya msingi. Kwa gharama kubwa inayotumika kujenga, sio sawa kupeleka SGR Rwanda. Ingeenda Congo kwanza.
  18. M

    Mwanaume usikate tamaa kabisa, natusua maisha Ukraine hivi hivi

    Hiyo game ngumu kutabiri. Japo Liverpool beki yao sio imara.
  19. M

    Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma: Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) ni Taasisi ya Umma

    Taasisi yoyote yenye maslahi ya umma inakua ni mali ya umma, bila kujali kwamba haipokei ruzuku Serikalini. Ni kama ilivyo TFF, ni taasisi ya umma, japo inajiendesha yenyewe, lakini kwa kutumia viingilio vya michezo, pamoja na ruzuku tofa FIFA. Kwa muktadha huo, TLS ni taasisi ya umma, japo...
Back
Top Bottom