Search results

  1. G

    Kwa CCM tatizo si CHADEMA ni Mbowe

    Uchafuzi wa Mbowe unaoendelea Bungeni leo unajidhihirisha kuwa CCM tatizo kwao sio CHADEMA ni Mbowe wanamsakama usiku na mchana, na kila kukicha wanasema hili wanamaliza na lile, kwa sasa kila mwana CCM anashadidia masuala ya ndoa ya Mbowe, utadhani wote wameolewa na Mbowe. Mwigulu yeye...
  2. G

    Watanzania tuhamie wapi?

    DC wa Singida ndiye aliyeruhusu ukatili huu dhidi ya akina mama. Mkuu wa Wilaya mwenyewe mwanamke, wanawake tunaweza! amemvimbia naibu Waziri wa Maliasili na Utalii kuteketeza nyumba za watu.
  3. G

    Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    PM7= Nilikuwa siijui Zitto Kabwe. Dr. Kitila Mkumbo Habib Mchange Juliana Shonza (CCM) Mtela Mwampamba (CCM) Grayson Nyakarungu - alihojiwa, msaliti ambaye alikuwa pending Eddo Mwamalala - (Kijana wa Mbeya), mchakato huu au ufanisi huu ulihusu pia, Makamu Mwenyekiti Said Arfi, Katibu wa...
  4. G

    Hotuba ya Zitto Kesho kwa Wandishi wa Habari ndio Kipimo cha Maturity na Vision ya Zitto

    taarifa zenu tunazo, haya ni maneno ya kundi hilo hilo kwa ajili ya kutafuta waonekane kuwa wana busara ili waendelee kuhujumu chadema, tumesikia mna mpango wa kuomba radhi, mimi sio msemaji wa kamati kuu ya chadema, ila hata kama mkiomba radhi na mkasamehewa, msipoacha tabia mliyoonyesha hamfai...
  5. G

    Upotoshaji huu wa gazeti Mwananchi dhidi ya CHADEMA kwa Faida ya nani?

    WALINZI WA CHADEMA = RED BRIGADE, HAO BLUE GUARDS NI WA MWANANCHI, NA ZITTO WAO na hakuna hofu yeyote mambo ni shwari kabisaaaaaaaaaaaa
  6. G

    Mnyonge mnyongeni, kwa hili ccm msitetee uhalifu/ubakaji

    CCM wapo tayari kufa na Kapuya kulinda Ubakaji? 1. Mwanafunzi aliyebakwa jina tunalihifadhi (umri 16), yeye ni Yatima, ana dada umri (20) 2. Shule anaposoma, ni Turian Sekondari – ipo Magomeni Jijini Dar es salaam, anakaa Gongolamboto, mwisho wa lami jijini Dar, majirani wapo...
  7. G

    Julius Mtatiro, ni ya kweli haya?

    Mtatiro ukimaliza kujibu hilo, Waambie wanachama wa CUF kwanini baada ya kipigo cha wafuasi wa CUF walichokipata Mtwara, mlisema mtaishitaki serikali kwa kitendo hicho, lakini siku mbili baadaye Mwenyekiti wa Chama chenu alienda Ikulu akaongea na Rais na sasa waliopigwa hawasikiki tena. Je...
  8. G

    Tundu Lissu aibuka shujaa Bungeni: Mapendekezo ya Werema kuwabana wanahabari yatupwa nje

    Una akili za kisisiemu ambazo hazina tija kwa taifa, ambazo huitikia ndio hata kama ukweli unaonekana. Leo mmepiga kura kukataa Majaji waache kuapa kwa Rais ingawa suala linaonekana kuwa ni la kisiasa, Jaji Werema ameelemewa mpaka akaanza kutoa matusi. Tuzingatie sharia, tuzingatie Katiba...
  9. G

    Nani Mbunge Singida Mjini 2015, Jesca Kishoa, Anna Mughwira,au Josephat Isango?

    Huu uzi unaweza kuwa umeletwa kwa ajili ya kuchafua, kutukana watu, au Ifweero na Kimboka wapo kazini na wanajulikana wanafanya nini?
  10. G

    Takwimu za ofisi ya pinda elimu imeanza kushuka 2005 (jk alipoingia madarakani)

    Hapa kuna tatizo, serikali inaogopa wananchi, imeamua kupanua wigo wa ufaulu. Alisema kwa mujibu wa hadidu za rejea, wajumbe wa tume hiyo watatakiwa kuangalia ni sababu zipi Akitoa mfano, Waziri Mkuu alisema: "Mwaka 2005 kiwango cha ufaulu kilikuwa asilimia 89.3; mwaka 2006 asilimia...
  11. G

    Takwimu za ofisi ya pinda elimu imeanza kushuka 2005 (jk alipoingia madarakani)

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI PINDA: TUSAIDIENI KUTAFUTA KIINI CHA KUSHUKA KWA ELIMU *Azindua tume ya watu 15, aipa wiki sita kukamilisha kazi WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amezindua Tume maalum aliyoiunda ili ifanye uchunguzi wa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne yaliyotangazwa...
  12. G

    Soma hapa shujaa anayejificha

    IMENICHUKUA muda kuandika andiko hili gazetini kutokana na kutokuwa nimeamini kile anachodaiwa kufanya Mwenyekiti wa Mkoa wa Arusha wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kaka na rafiki yangu, Samson Mwigamba, ambaye sasa amesimamishwa uongozi. Si kwamba siamini kwa sababu...
  13. G

    Wanahabari Iringa wakana kuhongwa na CCM

    Waandishi mnaweza kukutana na kuungana kulaani, lakini humo humo mnazungukana. Tuambieni msimamo wa kutoandika habari za Jeshi la Polisi kama mdau wa kutiliwa shaka baada ya kifo cha Mwangosi? Sio siri Waandishi wa Tanzania na Wahariri wenu nyie ndio kikwazo kwa maendeleo ya nchi. Gazeti la...
  14. G

    Propaganda zitapelela nchi pabaya.

    Kinachoripotiwa kuhusu Samson Mwigamba leo na mambo ya Mkutano wa Arusha, Waandishi na wachangiaji tutafute ukweli bila kuegemea upande kwa sababu ya hisia za kisiasa au kushabikia Propaganda, Mwigamba amekuwaje mbaya sana kwa Chadema baada tu kumaliza kusoma ripoti ya mkoa na kupigiwa makofi ya...
  15. G

    Uswisi sasa kurejesha mabilioni ya mafisadi

    = Ni Maneno mazuri, mazito ya kutafakariwa; Wahariri saidieni mabadiliko nchini, nchi inaendeshwa kipropagana, na ninyi na waandishi mnaandika kila kitu kupeleka kwa watanzania kwa maslahi ya Wanasiasa wanaojitafutia umaarufu binafsi ambao mwisho wa siku hauna kitu kwa wananchi. [/B][/I]
  16. G

    Chai, maridhiano, maelewano = katiba mpya

    Kwa maelewano haya, katiba mpya itapatikana tu
  17. G

    Sophia Simba: CHADEMA wanatumiwa kuanzisha vita na Mataifa ya nje ili yapate soko la Silaha

    Huyu Waziri anashughulikia Wizara gani?, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wanawake wa CCM Tanzania kweli ana uwezo wa kukosoa hoja za kisiasa za Lipumba, Mbowe na Lipumba na Askofu Kakobe, Prof. Lwaitama Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dsm? kweli, Waziri unasema kuwa Mbunge Getrude ni kwa ajili ya kupunga...
  18. G

    Zitto aalikwa kushiriki Mkutano/Warsha wa Mwaka wa OGP, Uswizi

    Shirika la Kimataifa la Mtandao wa Ulaya wa Madeni na Maendeleo, European Network on Debt and Development (Eurodad) watafanya ziara ya kiuchunguzi kuhusu masuala ya uwazi katika kodi katika nchi za Ulaya kuanzia tarehe 20 Oktoba mpaka tarehe 5 Novemba mwaka 2013. Uchunguzi huo utaendeshwa na...
  19. G

    Wassira, Chikawe, Lukuvi kikaangoni kuhusu Katiba

    Kwenye katiba hakuna mshindi, muswada uliopitishwa si wa CCM, katiba si ya CCM, inapaswa kuwa ya wananchi wote hata wachache wasikilizwe. "Katiba mpya haikuwa ajenda ya CCM, rais aliichukua labda kutoka chama kingine akaona inafaa. CCM wamepokea suala la mabadiliko ya katiba bila kukubali...
  20. G

    Kikwete zingatia hapa leo ni muhimu

    Leo Ikulu, JK zingatia haya, Mchora katuni huyu amekupa mwelekeo usiseme vya kuambiwa tena.
Back
Top Bottom