Search results

  1. Jodari

    Wazanzibar sasa ruksa kukopa Taasisi za nje kwa kutumia jina la Muungano!

    Hawa watu wasiendelee kutugonisha vichwa wananchi hili dubwana la muungano lina faida kwa nani?mpaka mukope kwa jina la Tanzania si muondoshe tuu hayo masuala ya nchi za nje na ikishindikana uondoweni muungano hata kama kimyakimya. Hii ni kero ya ngapi sijui itakua inayoongezeka, sisi waznz...
  2. Jodari

    Swali: Kwanini CHADEMA hawaipendi Zanzibar

    Huyu jamaa ni mnafiki mimi ninatoka pemba pale jadida anapotoka makamo mwenyekit wa chadema znz halafu unasema chadema hawaipendi znz? Tunawaomba chadema wazidishe nguvu bungeni kuitetea znz, nimeshuhudia mara nyingi wanavoitetea znz wakiwa bungeni kuliko wabunge wetu wa cuf.
  3. Jodari

    Dar es Salaam Operation ni biashara kubwa wajawazito

    Ni bora usiongee ivi vitu usivovijua na nimeshawachukulia kama wadad 3 wamejifungua vizuri tuu, hakuna kifafa cha mimba, hakuna kuvimba miguu, wala hakuna hata kutapika
  4. Jodari

    Dar es Salaam Operation ni biashara kubwa wajawazito

    Hizo mnazopewa hapa mzee wangu na uzuzu wangu munatiwa changa la macho kabisa tena ni aibu yenu hazifai hata kumpa paka wangu nyumbani akiwa mjamzito.
  5. Jodari

    Dar es Salaam Operation ni biashara kubwa wajawazito

    Nimeshuhudia Madr. Wengi sasa elimu yao wanaiweka upande na kuingia kwenye bishara hii ya kufanyia uperation wajawazito, operation huwa inafanyika kwa malipo makubwa kiasi cha laki6 kila mgonjwa. Ivi tuseme hawa maDr wameshindwa kabisa kutoa tiba na sasa wameamua kufanya biashara? Niliwahi...
  6. Jodari

    Mama yake Zitto avamiwa

    Hawa watu walikua sio majambazi wala chochote ispokua walikua wanataka wafikishe ujumbe kwa uyu mama kama walivoagizwa kuwa mtoto wake ana maadui ndani ya chama chake. Hizi ni mbinu za aina nyengine anazozitumia mwigilu kuimaliza chadema kisiasa.
  7. Jodari

    Mama yake Zitto avamiwa

    Apa kuna kitu kinatengenezwa na ccm cha kuwagombanisha zito na uongozi wa juu wa chadema. Mwigilu mtu mbaya sana tangu nilisikie jina hili mashikioni kwangu Tanzania hapakaliki.
  8. Jodari

    Ndugai amsifia MWIGULU

    Nungai sasa tunakusubiri ushabikie ushoga tuu uliobaki kichwani mwako.
  9. Jodari

    Nimeamua kumsaidia Kikwete... Aangalie hapa achukue hatua

    Mbona hii email ni ya kwako mleta uzi au wewe ndo unauza?
  10. Jodari

    Polisi: Kuna kila dalili ya Al Qaeda, Al Shabab kuingia nchini

    Kwani kile kibonzo na yule waliyenaye vip?
  11. Jodari

    Picha: Tapeli anayetumia jina la Waziri Lukuvi amtapeli Lowassa mkoani Iringa...

    Huo mtego wa hawa askari uko wapI? Au ni umaarufu tu walikua wanataka wa picha?
  12. Jodari

    Kiwanja kinauzwa kina foundation

    Kiwanja chenye foundation ya pande mbili kila upande una vyumba 3, choo,jiko, sitting room kina ukubwa mita 16 kwa 21. Kipo mbande mtaa wa kisewe Kata ya chamanzi. Ukitoka sokoni kwa miguu ni 10min. Kipo mtaani kabisa kwenye kona, tambalale gari inafika. Bei ni milioni 12. Wasiliana na...
  13. Jodari

    Haya tena kwa wale wanaotaka kusafiri ulaya kuja kikazi au kimaisha

    Hakuna mtu yoyote anaeondoka hapa Tz bila ya visa na sheria zote, kama anakwenda Uarabuni au ulaya na wala hakuna magendo inayofanywa, njia zote zinazototumika ni kama hii unayotaka kuwafanyia wewe ilimradi mtu atoe chochote na hii ndio hapa kwetu inayosemwa kuuwa ni kuuza binadamu wenzako kama...
  14. Jodari

    Cement ya pakstani

    Kwa hesabu za haraka mpaka mfuko kutoka dubai mpaka dar mpk nyumbani au dukani ni mifuko 560+ usafiri 1730+ 9440-8900 ushuru 530 ni hii. 10,530
  15. Jodari

    Cement ya pakstani

    Mpigieni huyu yuko dubai anitwa Mohd Khamis na ameshawaletea wafanyabashara wengi komtena za saruji hapa +971528284085
  16. Jodari

    Made in tanzania

    Huwa ninaisikia mara nyingi kule radio cloud tujuzeni inamaanisha nini? Kwakua linaonyesha nitangazo lakini halina bidhaa?
  17. Jodari

    Zanzibar siyo NCHI - Jawabu ni A siyo B au C...

    Zanzibar ilikua nchi kamili mwaka 1963-1964 ndio ilpovunjika na kuwa kama dodoma, ile kuweka jina la rais ni kupumbazwa kwa waznz tuu.
  18. Jodari

    Propaganda za CCM dhidi ya ugaidi ni hatari kwa mahusiano ya kimataifa!

    Mbona hukuandika hii habari tangu nchimbi aliporusha kete yake ya ugaidi kwa znz? Iweje sasa?
  19. Jodari

    Makinda na Ndugai wafukuzwe uspika na Samwel Sitta arudi kwenye kiti

    Tufike wakati wananchi tuitete nchii hii hata kuandaa maandamano ya kumrejesha Mh. Sita kwenye kiti.
Back
Top Bottom