Search results

  1. K

    Pinda kapindisha makaomakuu ya wilaya ya Rorya-katangaza makao makuu kuwa Ingrii juu

    Duuuu! Hebu tutanabaishe zaidi kuhusu uamuzi huo, hususan sababu za makao makuu kuwa hapo, na kama kuna miundombinu ya kutosha kama Rorya..maana isiwe ya kisiasa zaidi kiasi cha kutoleta tija. Hapa nakumbuka jinsi utawala wa awamu ya kwanza ulivyoamua makao makuu ya Mkoa wa Pwani kuwa Kibaha...
  2. K

    Mtoto wa nje ya ndoa

    Nakushauri uendelee kukaa kimya huku ukitubu kivyako, ili kudhibiti athari za dhambi uliyotenda ibaki kukuchoma wewe mwenyewe huku mumeo na mwanao wakiendelea kubaki katika amani.... Hebu fikiria adha ya kisaikolojia utakaompa mwanao ambaye kwa miaka mingi alidhani mumeo aliyemjali na kumthamini...
  3. K

    Kwanini Kikwete hakusimama na Lowassa?

    JK asingekuwa mjinga kumkingia kifua hasa baada ya kung'amua kuwa pamoja na kazi ya kumsaidia kuingia ikulu, kuna kazi nyingine pevu iliyokuwa imefanywa nyuma ya pazia na EL na kundi lake, la kujinufaisha binafsi na kundi lake, na la kutaka kufifisha madaraka ya presidency na kutaka wanamtandao...
  4. K

    A man beheads his wife in Buffalo, NY

    To think beheading a wife is islamic or muhammadan is both archaic way of thinking, and those who harbour those sentiments needs special prayers. Human weaknesses in the part of the husband is to blame for this cruelty same way as christian priest in Tanzania who was found in possession of...
  5. K

    CUF wamtaka Jintao Z'Bar

    Kwani Makamu wa Rais ambaye maalum kutoka Visiwani hakuwepo kati ya viongozi waliomlaki na kuzungumza na Rais huyo wa China. Haya mambo hayaendi kwa nusu-kwa nusu yakheee
  6. K

    JK amcheza bintiye ngoma

    hongera Rais kwa kujali na kudumisha utamaduni wako, hususan wakati huu ambao kuna malimbukeni wanaoshupalia tamaduni ngeni wakidhani kuwa ndio maendeleo ama kwenda na wakati. Mtoto kumfunda kabla ya kuolewa ni jambo la kiungwana, na stahiki tangu enzi za mababu. kuhusu gharama nasema no...
  7. K

    Waandishi makanjanja na hatma ya Tanzania

    Vita dhidi ya ufisadi, ni ngumu na mafisadi lazima wajihami kwa matumaini ya kuokoka mkono wa sheria. Na miongoni mwa mbinu zitumikazo ni pamoja na kuanzisha vijigazeti vyenye mlengo wa kufifisha vita hivyo na kuwaandama majemedari wa vita hivyo, kwa matumaini kuwa watakaa kimya. Cha...
Back
Top Bottom