Search results

  1. N

    Biashara ya A4 copy paper kutoka nje. Nahitaji mwenye taarifa sahihi kuhusu hii biashara anisaidie

    Habari wana jamvi! Nafikiria kuanzisha biashara ya A4 copy paper kutoka aidha South Africa au Thailand! yaani kuleta container. soko langu nalilenga kanda ya ziwa. Wadau nahitaji mwenye taarifa sahihi kuhusu hii biashara anisaidie kunipa taarifa wapi mzigo mzuri nitapata, mtaji, brand gani ya...
  2. N

    Askari Polisi ni sawa kuvaa ear phone masikioni?

    Mambo vipi! wana jamvi, leo naomba kuuliza kuhusiana na kitu ambacho nimekutana nacho leo muda si mrefu katika benki moja ambayo ipo maeneo ya banana ukonga, nimemuona askari polisi akiwa amevaa ear phone masikioni huku akiwa lindoni na amebeba silaha je ni sawa? Samahani lakini!:-*
Back
Top Bottom