Kaka mtoi watu wakomae sana kakaa na nimekusaka kwa mda mrefu sana brother mana ninataarifa zako za utendaji bora. Amini msiamini chama la Arusha litatia timu lushoto kuhakikisha tunafanya mabadiliko. Mtoi kaka nirushie no yako kwenye 0784 523679.
Mungu amsaidie kibanda apone haraka ila serikali iwe makini sana na uchunguzi wao ambao mara nyingi hatuoni matunda yake. Ipo siku wananchi watapoteza imani na jeshi la polisi na serikali yao, nini kitatokea >>>mimi na wewe msomaji wangu hatujui
Wana jf kunajamaa mmoja anaitwa bernard adam(mzaliwa wa irente mhelo lushoto) amezaliwa lushoto na kusoma lushoto. Kwa sasa anasoma masters of education chuo kikuu cha tumaini makumira mkoani arusha. Alishawahi kuwa 1.waziri wa elimu wa chuo hicho 2010/2011 2.rais wa chuo hicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.